Vita ya Aleppo inaanza tena

Vita ya Aleppo inaanza tena

Mrusi anaenda kuyafyeka tena yote yaani maarabu bhana wala hayajukani yanapigania nn hapa duniani😀😆
Wewe ni mgeni na hulka za hao watu?? Popote walipokusanyika hao jamaa lazima timbwili liamshwe. Wanajulikana kwa kupigania nafasi adimu za kupewa thawabu/zawadi ya Mabikra 72 na mito ya pombe huko Firdaus na kuirithi Jannah - kamaulikuwa hujui.:celiD:
 
Ikumbukwe US ana military base Syria pia, kajimegea maeneo ya visima vya mafuta katulia pale.

Syria sasa kuna maslahi ya Russia, US, Iran, Turkey, Israel nk. Yaani nchi kama mpira wa kona hiyo
Sijui hapo waheshimiwa hao watagawanaje hiyo sungura kwani kila mmoja yupo hapo kihalali. Maskini Syria! Dah!
 
It won't happen because that war is instigated by foreign powers.
Mkuu vp? Huyo "foregn powers" anakunyima kweli hata kutumia Hekima na Busara ulizojaliwa kwa asili ya Ubinadamu wako na kwa kuzaliwa? Yan watu mnauana tuuuu, haifiki mahali mkashtuka kwamba mbona hichi kitu hakiishi na hatuoni faida yake bali tunazidi kuteketezana kizazi baada ya kizazi? Hiyo itakuwa sio Ujinga tena bali ni Upumbavu aliokithiri.
 
What you should know is those foreign powers are scrambling for natural resources and other strategic interests.
They don't care who is dying.

The local militias and Syrian army are struggling for power. Any internal power struggle is the worst kind of war you could imagine. Because it blinds any one involved, make them ignore humanity and freezes their hearts.
 
Syria’s military announced on Saturday a “temporary troop withdrawal” in Aleppo to prepare a counteroffensive against what it called “terrorists.”

The military said the withdrawal was part of a regrouping effort ahead of the arrival of reinforcements to launch the counterattack.

The military also added that dozens of soldiers had been killed or injured in fierce battles with opposition forces in Aleppo and Idlib over the past few days

Ukiona hivi ujue maji yashazidi unha
 
Hatari sana ilitakiwa IDF wapenyeze watu wao humo wametia adabu Iran na Hizbullah
 
Syria sio nchi ya kwanza kupambana na maandamano au kuuwa waandamaji hata Marekani kwenye maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi kuna waandamaji waliuawa.

Chanzo cha machafuko nchini Syria ni uingiliaji wa nchi za nje.
Ukiua lzm upishe kiti iwe makusudi au bahai mbaya , mpk maandamano yanatokea bas ujue kuwa huwajibik kusikiliza kero ndio maana watu wanaingia mtaani
 
Cha pili: Hii ni nukuu.
Picha za satelaiti za baada ya mashambulizi ya Israel zinaonyesha uharibifu wa majengo katika kile ambacho wataalamu wanasema ni kituo kikuu cha kutengeneza silaha kilichopo katika eneo la Parchin, lililopo takriban kilomita 30 (maili 18.5) mashariki mwa Tehran.
Eneo hilo limehusishwa na utengenezaji wa roketi kulingana na wataalamu kutoka taasisi ya kimataifa ya mafunzo ya kimkakati (IISS).
Inaendelea ...Ikilinganisha picha za satelaiti zenye ubora wa juu zilizopigwa tarehe 9 Septemba na picha iliyopigwa tarehe 27 Oktoba, inaonekana kwamba angalau miundo minne imeharibiwa kwa kiasi kikubwa.....
Waweza kuzipata habari zaidi kwa kutembelea https://www.reuters.com/
Uundaji wa silaha hufanyika chini ya mahandaki sio juu mkuu.
Kuna video na picha ziliwahi kusambazwa humu zikionesha mahandaki marefu yenye silaha za Iran.
Main core of weapons production is underground situated kaka sio juu.
 
Syria lazima itagawanyika usijipe moyo labda kama hujui Geopolitics, next country yenye demographic kama Ya Syria ni Iraq
Jipe moyo hivyo hivyo,Syria kamwe haitakaa kugawanyika.
Watu walisema itagawanyika Libya pale Khalif Aftar alipoanzisha uasi baada ya kufariki Gaddafi na haijagawanyika.
 
Back
Top Bottom