Vita ya Aleppo inaanza tena

Vita ya Aleppo inaanza tena

Hizo chuki zako zilizo kujaa mpaka mkunduni hazitokusaidia kitu zaidi ya kukuletea maradhi ya moyo.

Na usishangae hao unao waita magaidi na wavaa kobanzi ndo watakuolea mabinti zako ili tuone kama na wajukuu wako utawaita magaidi na wavaa kobanzi.
Hahaha sasa hapo mwenye chuki nani, mimi au wewe? Matusi unatukana wewe, halafu unasema mimi ndiye nina chuki! Mjukuu wa mudi acha hasira, tafuta suluhu ya mgogoro, tusije shika majambia msikitini.
 
sisi waafrika tusikubali kuchonganishwa na nchi zetu kuwa viwanja vya mapambano ya nchi zenye nguvu kuoneshana ubabe kwa majaribio ya silaha zao mpya za kisasa
Hawaja taka tu ,tena sisi watu weusi ndio nirahisi,kama waliwatawala miaka kibao na mpaka sasa wanatutawala indirect.

watashindwa sasa kutuchonganisha wakiamua?
 
Huyo shoga achana naye mkuu.
Yeye anaendekeza udini tu tunaojielewa tumesham ignore muda sana.
nyie wenyewe ni wadini halafu mnaita wenzenu shoga, unamuona mwenzako shoga hata hun ushoga haujui, haya ni matusi makubwa sana kuweni wastarabu kujibu kwa staha bila hizo kashfa na kejeli
 
Assad ni rais mzembe naona kuliko wote hapo Middle East muoga kufanya maamuzi yaani unajua kabisa turkey ndio kaingiza waasi anashambulia ndani ya nchi Yako na Kuna muda anaingiza jeshi kabisa kushambulia hafanyi action yoyote anaangalia tu wakati uwezo anao ,sababu kama Hezbollah silaha zinapitia hapo kwake yy anashindwa vp kupata silaha za kupambana.
 
Many people do not understand what events in Georgia and Syria could mean for Ukraine. Firstly, a second front has been opened in Syria against the Russians, and the Russians are dying there too. This is good for us, the more they die, the better for Ukrainians and the West. The old man in the bunker Putin has already promised help, both in soldiers and equipment, the more he spends millions of dollars in Georgia and Syria, the less he has to attack Ukraine. And third, Putin is losing influence in the global South, where his positions were once very strong.- BLOOMBERG
 
Nchi inakuwaje na waasi? Wana kambi za jeshi, wanafanya training hadi wanaanzisha mashambulizi jeshi liko wapi ?
 
Vita nchini Lebanon ilipokuwa inaelekea mwisho, mzozo mwingine mkubwa umezuka Mashariki ya Kati - au labda si mpya sana. Waasi wa Syria wanaopinga serikali wameanzisha mashambulizi ya haraka dhidi ya jiji kubwa zaidi nchini, Aleppo. Tayari wanadhibiti vijiji kadhaa na wameendelea hadi barabara kuu ya Damascus-Aleppo.

Kwa mara ya kwanza tangu 2020, mapigano makali yamezuka nchini Syria. Vikosi vya serikali vinatoa upinzani dhaifu. Waasi wanasonga mbele kwa kasi, na vikosi vya Assad vimeshindwa kuwazuia, vikijiondoa vyenyewe maeneo

Wakati wa mapigano karibu na Aleppo, mshauri wa kijeshi wa Iran, Jenerali wa IRGC Kiyumars Pourhashemi, aliuawa. Shughuli mpya za waasi zimechochewa na kushindwa kwa Hezbollah na Israeli na kupelekwa tena kwa vikosi vya Urusi vilivyokuwa syria Ukraine. Dikteta wa Syria Bashar al-Assad amepanda ndege haraka kwenda Urusi kwa mashauriano na Putin.

Kulingana na ripoti ambazo hazijathibitishwa, makumi ya wanajeshi wa Urusi kutoka kwa "PMC ya Wagner" wameuawa wakati wa mashambulizi ya waasi, na baadhi , ya silaha na usafiri wa Urusi zimekamatwa. Waasi wanabomoa picha za Bashar al-Assad na alama zinazohusishwa na Urusi. Wametangaza kuwa maadui wao wakuu ni WaIrani na Warusi, wanaounga mkono utawala wa Assad.

View attachment 3165135
The Mohammadans are turning on one another. Hii MIJITU machinist ni VITA tu. Hiyo vita huko ALLAPO ni SUNNI na SHIA. Na watachinjana kweli kweli. Wa kuwa ones Shirima ni Wakristo wa watu wa ALLAPO.
 
Nimesoma comments nyingi kwenye huu uzi,wengi hawajui kwanini Russia yuko pale na kwanini marekani na west wako pale,wewe umeongea point ambayo ndio sababu kubwa ya kinachoendelea .
Wengi hawajui kuwa nchi yako ikiwa kwenye eneo pontetial geographical basi msipokuwa makini hakutakuwa na amani milele.. toka enzi za kuumbwa kwa hii dunia pale mashariki ya kati ule ukanda unaoitwa lavante .. (gaza ya sasa na eneo lote la israel/ Palestina)

Ilikuwa ndio kitovu cha biashara maana kwa ardhini ndio ilikuwa njia ile ya kuuanganisha biashara upande wa Egypt na Asia/Europe.. ndio maana kila
Mbabe wa dunia hii alikuwa anapachukua kwa nguvu.. ukisoma historia pale kila tawala kubwa za dunia zilipashika pale.. kuanzia Assyrian hadi roman.. infact utawala wa Roma
Ndio ulipaita palestina

Sasa syria kuwa kwenye eneo ambalo pontetial kwa Euro na Mashariki ya kati ndio maana kila mbabe anajaribu kuweka influence yake. Na bahat mbaya ndugu zetu waarabu kama sie tu waafrica ni rahis kumezeshwa unafiki wa kikabila na udini basi tunachinjana

we unaona huku upande wa turkey concern yake wakurdi.. huku upande wa iran concern yake Sunni.. US na Urusi wao concern yao ni kudominate njia za kibiashara na malighafi
 
Uchambuzi mzuri sana ,big up...

But ukiangalia comments nyingi kwenye huu uzi tayali zmeshajigawa upande wa ushabiki wa West na mashabiki wa Russia, lakini wengine wameenda mbali zaidi wanashabikia huu mgogoro kulingana na dini zao (waislam na wakristu),

Watu weupe wamefanikiwa sana kuingia kwenye mindset za wa Africa ,ukisoma comments hapa na ukienda pia kwenye uzi wa vita ya Israel na parestina na Iran, watu weusi wanaonyesha ushabiki wawazi kulingana na dini zao ,, niwachache sana wanachangia kwa logical, inasikitisha sana watu weusi tulivyo
 
Ndg hapo kuna usuni na ushia, Iran ni mashia na assad ni Shia inabidi ujue hilo,na kama Syria itaanguka mikononi mwa masunni basi naiona serikali ya Iraq itakavyoangushwa muda si mrefu maana Iraq masunni nao wamechoka na kuna mapigano huko, dunia inaenda kujiform upya,
Acha ujuaji assad sio shia
 
Vita nchini Lebanon ilipokuwa inaelekea mwisho, mzozo mwingine mkubwa umezuka Mashariki ya Kati - au labda si mpya sana. Waasi wa Syria wanaopinga serikali wameanzisha mashambulizi ya haraka dhidi ya jiji kubwa zaidi nchini, Aleppo. Tayari wanadhibiti vijiji kadhaa na wameendelea hadi barabara kuu ya Damascus-Aleppo.

Kwa mara ya kwanza tangu 2020, mapigano makali yamezuka nchini Syria. Vikosi vya serikali vinatoa upinzani dhaifu. Waasi wanasonga mbele kwa kasi, na vikosi vya Assad vimeshindwa kuwazuia, vikijiondoa vyenyewe maeneo

Wakati wa mapigano karibu na Aleppo, mshauri wa kijeshi wa Iran, Jenerali wa IRGC Kiyumars Pourhashemi, aliuawa. Shughuli mpya za waasi zimechochewa na kushindwa kwa Hezbollah na Israeli na kupelekwa tena kwa vikosi vya Urusi vilivyokuwa syria Ukraine. Dikteta wa Syria Bashar al-Assad amepanda ndege haraka kwenda Urusi kwa mashauriano na Putin.

Kulingana na ripoti ambazo hazijathibitishwa, makumi ya wanajeshi wa Urusi kutoka kwa "PMC ya Wagner" wameuawa wakati wa mashambulizi ya waasi, na baadhi , ya silaha na usafiri wa Urusi zimekamatwa. Waasi wanabomoa picha za Bashar al-Assad na alama zinazohusishwa na Urusi. Wametangaza kuwa maadui wao wakuu ni WaIrani na Warusi, wanaounga mkono utawala wa Assad.

View attachment 3165135
Kwanza mkuu hawa wanajeshi wa upinzani si Jeshi la waasi kama unavyoliita hawa ni wanajeshi watiifu wanapigania nchi yao ambayo Assad ameifanya kama ni yakwake binafsi, Syria ni wa Syria sio ya mtu 1, Assad hataki kuondoka madarakani toka alipokabidhi kutoka kwa baba yake.

Urusi huwa anapenda kuwapiganiwa viongozi wenzake ambao wanatabia kama zake kungangania madaraka, Assad ni dictator wacha Wasyria wapiganie nchi yao. na sisi huko kwetu muda utafika tu
 
Mzayuni ndio kaactivate hio vita baada tu ya cease fire akaamsha makundi yake Assad pale hawamtoi unless Iran na Urusi wachakae kabisa nani wa kufanya hio kazi?
Mbona Assad kakimbilia urusi basi hakubaki pale Syria kupigania nchi yake kama Zelensky wa Ukraine., utawala unaanguka mkuu huo, Assad anaifanya syria kama mali yake wacha nchi yao ikomboke
 
Ntaandika kwa key points

1. Netanyahu alichukizwa na Assad kutorosha silaha za hizbollah kupitia Syria zilikua zikitoka Iran na Urusi. Hili limesemwa kwenye press ya mwisho ya netanyau kabla ya cease fire kama unataka references itafute hio press, ambapo Netanyahu kamtishia maneno mawili Assad mwanzo kanwambia litakukuta la Nasrallah maana umecheza na moto

2. Netanyahu anataka kuhakikisha anafunga njia ya silaha kumfikia hzb kwa kudisturb root yake huko Syria hivyo akafanya cease fire na Hizbollah kwa siku 60 ili azuie kabisa hio root, ndio maana baada ya cease fire Jio yake kaactivate makundi HTS,Isil na mengine kumvuruga Assad.

3. Mrusi ana maslahi yake Syria, Iran ana maslahi yake Syria mojawapo ni kulinda makundi yake wote hao Iran na Russia wana mkataba na Assad wa kuwepo pale.

4. Sasa Mturuki nae kuingiza kundi lake pale anakiwasha ndani ya Syria ambapo Iran kalalamika Mturuki kafata nini na hana makubaliano yoyote na serikali ya Assad, Mturuki pale ana interest zake nadhani ni kulinda biashara zake na Israel

5. Mgogoro huu unakuzwa na Israel na Marekani kwa malengo ya kupata amani yao kwa kuisolate gaza na lebanon ili Israeli aishi kwa amani kama wanavyofikiri wao wakidhani Iran haelewi kinachoendelea, Iran yeye anaendelea kuranda randa na karata yake ya kushambulia Israel kama kulipa kisasi siku akiona mambo yamemuelemea ndio maana katulia kwanza
Netanyahu anaingiaje katika hili, wanaopiga Syria kumtoa Assad ni wanajeshi watiifu wa makundi ya kiislam ambao miaka mingi mpango wao ni kumtoa Assad madarakani dictator, na hao upinzani wakifanikiwa kuchukua nchi utakuta ni wale wale wanaumwa ni damu ya Wapalestine na Gaza sasa kama shida ni kufunga njia, njia itafunguka zaidi kama kweli Syria ndio gat away ya silaha kutoka Iran kwa hizbollah
 
Back
Top Bottom