Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Kosa la C.Lite na ndo lipo Katika Heineken ni gas imezidishwa sana ukinywa tumbo linajaa gas sana, hafu zimezidishwa uchungu ile taste ya Mwanzo hazina tena, niliishaacha kunywa hizo bia nikahamia S.Lite na kweli hii bia inakimbiza sana kwasasa.
 
Hapo naona ni ushindani wa kibiashara kulikua kuna wasanii wanasema hawalipwi fiesta au malipo ni kidgo hapo watapata wasaa wakuenda wcb ambapo kutakua na malipo ya kutosha na kila msanii ataridhika na pia itakua funzo kwa CMG ya kutokuwalipa wasanii kama ni.kweli lakin pia sidhani kama na WCB watakua na uwezo wa kuingia hasara kwa kumlipa kila msanii kiasi anachotaka ukitegemea nao wanataka faida ya kurecover cost
 
nilivyosoma na kuona huu mkeka ikabidi niangalie kaandika nani,kumbe ni wewe mkuu maana nilijua ni chige
 
Mkuu Vladimir tunamuweka wapi,maanake anakuja kwa kasi
 
Upo sahihi ndio akili za wabongo wengi zilivyo zinabebwa bebwa na matukio...ya watu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…