kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Diamond mmoja ni sawa na kina Nandy 70Usitake kufananisha Clouds na hao wengine. Stil Clouds ni wakongwe na wazoefu kwenye mambo ya burudani.
Huko nangwanda wataenda hao wasanii wa mafungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond mmoja ni sawa na kina Nandy 70Usitake kufananisha Clouds na hao wengine. Stil Clouds ni wakongwe na wazoefu kwenye mambo ya burudani.
Huko nangwanda wataenda hao wasanii wa mafungu.
Hii vita ya wcb na mawinguSubiri niwaambie Efm nao waweke WALIMENDE tarehe iyo
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Kosa la C.Lite na ndo lipo Katika Heineken ni gas imezidishwa sana ukinywa tumbo linajaa gas sana, hafu zimezidishwa uchungu ile taste ya Mwanzo hazina tena, niliishaacha kunywa hizo bia nikahamia S.Lite na kweli hii bia inakimbiza sana kwasasa.Balimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu
nilivyosoma na kuona huu mkeka ikabidi niangalie kaandika nani,kumbe ni wewe mkuu maana nilijua ni chigeTatizo letu hatupendi ushindani.
Mi naona hii ni changamoto kwa clouds na kwa wcb na wasanii wote kwa ujumla. Tanzania kuna wasanii wengi saana wengi wana hit saana. Fiesta ya dar haiwez kuwa accomodate wote kwa siku moja. Hivyo wengine lazima tuu wapate kule mtwara.
Wasanii hawana budi kufanya kazi kwa bidii hawana budi kuwa wabunifu ili kuongeza thamani zao.
Changamoto kwa serekali kuweka mazingira rafiki kwa hawa wana industry kufanya kazi vzr.
heko wasafi festival kwa kuthubutu.
Watanzania tuwe na positive mind. Wcb hawapo ili kuwaangusha clouds na clouds haipo ili kuzuia 'clouds' wengine wasichomoze
Hahahahqhqq mkuu upo? Habari za siku nyingDiamond mmoja ni sawa na kina Nandy 70
Mkuu Vladimir tunamuweka wapi,maanake anakuja kwa kasiBalimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu
Wanaichezea akili yako mkuu jiongezeHawa jamaa wanatuchezea akili... Wacha wapige pesa tu View attachment 932191
Kabisa asee... K Vant ni mashine nyingine kabisaMkuu hii kvant imeiua nyagi kabisa
Upo sahihi ndio akili za wabongo wengi zilivyo zinabebwa bebwa na matukio...ya watu binafsiWCB always Wata Win Wanajua Sana Game za Fitinaaaa.......!!!! ngoja kuanzia Tarehe 20 watachafuaaaaaa mitandao yote ya kijamiii hata Fiesta hutaisikia Tena!!!!!! Diamond tarehe 23 akimleta Zari tuuuuu kuwa host wabongo akili zote zinahamaaaaaaaa huko fiest(Huo ni mfano tuuu)
Hahaa lolAliyeona mahali waliposhikwa vibaya WCB atuonyeshe na sisi tuone
Mnatuharibia uziDoh kumbe siko peke yangu. Ile makitu ni kifutio kabisa. Inapoteza mazima... afu asubuhi mdomo unatoa harufu kama choo cha stendi.. .
Imemvua nguo kabisa mzee mzima Nyagi...Mzee haya mapambano uliyoyataja ni hatari ..maana kama Kvant sasa ina bonge la muonekano ....
Umeona eeh? Wakati wana uzi wao kule ila wasamehe bure si unajua tena tabia za waleviNasikitika kuwaambia thread imevamiwa na walevi
Plisner ilinishinda kabisaEwaaa... hapo nlitaka kuzungumzia Balimi Vs Pilsner.
Hapo kwa K Vant na Serengeti hata mimi niko upande wao. Nyagi imefanikiwa kunipotezea sana memory.
inamaana mtu anatoka Dar mpaka mtwara kufata show ya WASAFI?Upo sahihi ndio akili za wabongo wengi zilivyo zinabebwa bebwa na matukio...ya watu binafsi