Moshi huku bia ni buku 1000 tu eagle na kibo ukiona havpandi kuna bwana lao plisner king ni hatarBalimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu
hii ID yako,inabidi lifungiwe na BasataDiamond mmoja ni sawa na kina Nandy 70
Acha zako wewe B Dozen wa wapi,yule anaitwa Ray Mshana.Kwanza hata kwenye tangazo la show ya mtwara aliyweka sauti ni b dozen
Hawa jamaa wanatuchezea akili... Wacha wapige pesa tu View attachment 932191
Clouds na WCB huwezi kuvitenganisha na Kusaga... Huu ni mkakati maalum wa kuiua EFM na TV. Na kwa kiwango flani naona wanaelekea kuwin. Mandezi wa pori hawawezi kuelewa huu mcezo. Ndo maana me nikiona hii ligi ya mawingu na wcb naanza kula popcon huku nikitabasam.Kwanza hata kwenye tangazo la show ya mtwara aliyweka sauti ni b dozen
nchi ya myukano kwenyebunge ni zito na spika, mzalendo na mafisadi , chada na mahakama mange na nstragramHayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Pilsner, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Aliyekaa siti ya mbele atakuwa ameona,ngoja aje.Aliyeona mahali waliposhikwa vibaya WCB atuonyeshe na sisi tuone
Sanaaa tu mkuu hayo mafestival tuwaachie watotoHayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Pilsner, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Mi nlishaacha nyagi Mara tu K vanga ilipotua sokoni unainywa ya kutosha na asubuhi unaamka fiti kalikitiDoh kumbe siko peke yangu. Ile makitu ni kifutio kabisa. Inapoteza mazima... afu asubuhi mdomo unatoa harufu kama choo cha stendi.. .
Salama shekhe wangu[emoji14]Hahahahqhqq mkuu upo? Habari za siku nying
Niliionjaga Mara 1 tu sikutaka kuirudia, bia ina povu kama omoPlisner ilinishinda kabisa
Poa poa mkuuSalama shekhe wangu[emoji14]
Mimi mwenyewe nimeshindwa kuelewa pale, naanza kuamini hawa jamaa wanatuchezea akili lao mojaKwanza hata kwenye tangazo la show ya mtwara aliyweka sauti ni b dozen
Kwanini bladhahii ID yako,inabidi lifungiwe na Basata