Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Balimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu
Moshi huku bia ni buku 1000 tu eagle na kibo ukiona havpandi kuna bwana lao plisner king ni hatar
 
Wasanii wakubwa wote wako WCB sasa una hitaji nin?
 
Kwanza hata kwenye tangazo la show ya mtwara aliyweka sauti ni b dozen
 
Hii wala haina shida kwa wasafi, nimepata nafasi ya kuhudhuria show ya harmonize pale Nangwanda nyomi ilikua si mchezo! Wasafi pekee wanatosha kujaza show zao bila backup ya wasanii wengine.
Nadhani kwa wasanii wengine wamepoteza fursa ya kupiga hela kama hizi tarehe zingekuwa tofauti!
labda show hizi zingekuwa zote zipo Dar hapo ndio tungepima nguvu ya hawa watu.
 
Wasanii wafuasi wa ruge wataliwa elfu 50 zao wa chibu watakula mkwanja wa kutosha
 
Kwanza hata kwenye tangazo la show ya mtwara aliyweka sauti ni b dozen
Clouds na WCB huwezi kuvitenganisha na Kusaga... Huu ni mkakati maalum wa kuiua EFM na TV. Na kwa kiwango flani naona wanaelekea kuwin. Mandezi wa pori hawawezi kuelewa huu mcezo. Ndo maana me nikiona hii ligi ya mawingu na wcb naanza kula popcon huku nikitabasam.
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Pilsner, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
nchi ya myukano kwenyebunge ni zito na spika, mzalendo na mafisadi , chada na mahakama mange na nstragram
 
Hao Ni Dugu Moja In Panjuani Voice
Nachojua Mie Clouds Ni Ya Familia Ya Marehemu Mzee Kusaga Na Wasafi Ni Ya Joseph Mwenyew
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Pilsner, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Sanaaa tu mkuu hayo mafestival tuwaachie watoto
 
Back
Top Bottom