Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sikupiga pafu ya piliNiliionjaga Mara 1 tu sikutaka kuirudia, bia ina povu kama omo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikupiga pafu ya piliNiliionjaga Mara 1 tu sikutaka kuirudia, bia ina povu kama omo
Sijui wanaipendea niniSikupiga pafu ya pili
Yaani pale ndio niliona hawa watu wanatufanyia mchezo wa kingese tuKwanza hata kwenye tangazo la show ya mtwara aliyweka sauti ni b dozen
Una sura mbayanimewahi siti leo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Lahaulaaa kumbe tuko wengi! Kijiweni kwetu nyagi tumeipa jina "kichaa" au "ufutio" coz ukiamka asubuhi hukumbuki chochote,inafuta memory zooote
Aysee sijainywa cku nyingi hata sijui inafananaje siku hizi?! Ngoja nitafute badae nirudi na mrejeshoMkuu Vladimir tunamuweka wapi,maanake anakuja kwa kasi
Ndogo me naona! Hata outlook iko kiheshimaHivi balimi ndogo na kubwa ipi iko fresh zaidi
Dar zipo kweli maana sijawahi kutana nazoNdogo me naona! Hata outlook iko kiheshima
Kende si kama Nyegezi tu😂😂Kwanini bladha
ile sauti sio ya Shostito Dozen,ni ya dogo anaitwa Ray Mshana na yeye alikuaga mawingu long kitambo....fatilia vizuri utajuaYaani pale ndio niliona hawa watu wanatufanyia mchezo wa kingese tu
Mkoa gani?Mkuu hii kvant imeiua nyagi kabisa
Na kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Pilsner, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Hao mnaowaita WCB na hao CMG wote nyuma yao yupo mtu mmoja. Ninyi mnadhani wanashindana lakini ujio wa hilo kundi lingine lengo ni kuwadhibiti eFM na huyo Bashite. Mwisho wa siku mshindi ni mmoja anayecgeza akili zenu kwa kuwaaminisheni kuwa hapo kuna makundi mawili pinzani.Wanasema kila kitu na zama zake, which means kila mtu ana wakati wake huenda ikawa mda wa Downfall ya CMG ila itategemea na strategies walizo nazo kubakia imara sokoni! Kama Wasafi wakifeli kwenye strategies tayari wanakuwa hawana ishu tena!
Ingekuwa kipindi cha nyuma sawa,ila kwa sasa mpaka WCB kutumia kiki ya Ushoga (Konk Konk Master) kuwa ponda CMG ,hii ishu serious ,hamna mwanume anayependwa kuambiwa hana marrinda.Alafu siku zote mtu akianzisha project mbili zinazofanana, nia na lengo lake nizikuwe parallel kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma (ITV na EATV ) na ndio maana mwanzoni ITV ilizibeba EATV mpaka zikasimama zenyewe.Hao mnaowaita WCB na hao CMG wote nyuma yao yupo mtu mmoja. Ninyi mnadhani wanashindana lakini ujio wa hilo kundi lingine lengo ni kuwadhibiti eFM na huyo Bashite. Mwisho wa siku mshindi ni mmoja anayecgeza akili zenu kwa kuwaaminisheni kuwa hapo kuna makundi mawili pinzani.
Ingekuwa kipindi cha nyuma sawa,ila kwa sasa mpaka WCB kumia kiki ya Ushoga (Konk Konk Masster) kuwa ponda CMG ,hii ishu serious ,hamna mwanume anayependwa kuambiwa hana marrinda.