Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Hivi balimi ndogo na kubwa ipi iko fresh zaidi
Lahaulaaa kumbe tuko wengi! Kijiweni kwetu nyagi tumeipa jina "kichaa" au "ufutio" coz ukiamka asubuhi hukumbuki chochote,inafuta memory zooote
 
Yaani pale ndio niliona hawa watu wanatufanyia mchezo wa kingese tu
ile sauti sio ya Shostito Dozen,ni ya dogo anaitwa Ray Mshana na yeye alikuaga mawingu long kitambo....fatilia vizuri utajua
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Pilsner, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Na kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasema kila kitu na zama zake, which means kila mtu ana wakati wake huenda ikawa mda wa Downfall ya CMG ila itategemea na strategies walizo nazo kubakia imara sokoni! Kama Wasafi wakifeli kwenye strategies tayari wanakuwa hawana ishu tena!
Hao mnaowaita WCB na hao CMG wote nyuma yao yupo mtu mmoja. Ninyi mnadhani wanashindana lakini ujio wa hilo kundi lingine lengo ni kuwadhibiti eFM na huyo Bashite. Mwisho wa siku mshindi ni mmoja anayecgeza akili zenu kwa kuwaaminisheni kuwa hapo kuna makundi mawili pinzani.
 
Ingekuwa kipindi cha nyuma sawa,ila kwa sasa mpaka WCB kutumia kiki ya Ushoga (Konk Konk Master) kuwa ponda CMG ,hii ishu serious ,hamna mwanume anayependwa kuambiwa hana marrinda.Alafu siku zote mtu akianzisha project mbili zinazofanana, nia na lengo lake nizikuwe parallel kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma (ITV na EATV ) na ndio maana mwanzoni ITV ilizibeba EATV mpaka zikasimama zenyewe.
 
Back
Top Bottom