Aende wapi tena! Kwani si tulikubaliana Pablo ameshawahi kuzifundisha Real Madrid na Getafe! Na hivyo tukimpa muda, ataigeuza timu yetu kuwa Real Madrid ya Bongo!Pablo abebeshwe virago
Umeongea kitu cha maana Sana. Hii timu haina uvumilivu ni kama Chelsea pale England.Duuuuh yaan sijui simba huwa tunakutwa na nn khaaah.
MINOCYCLINE ( alias ) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.
Na anamzidi magoli Aucho , unadhani Aucho hali yake ipoje kama Chama kaisha?Chama mpira ulisha Isha. Match zote siku hizi anapuyanga tu. Jiandaeni na Azam, kagera, Geita, mtibwa, mbeya city wako mbele yenu
Bila kuingilia mzozo kati ya Pablo na Chama, Pablo ndio kocha wa hovyo wa Simba katika kipindi cha miaka 4 iliyopitaTetesi kutoka msimbazi ni kuwa kiungo wa Simba,Clatous Chotta Chama na Kocha Mkuu Pablo Franco walirushiana maneno kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Aprili 30, 2022 katika mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga.
Inaelezwa tukio ndilo lililisababisha Pablo kumtoa Chama na nafasi yake kuchukuliwa na Bwalya, pia katika mchezo dhidi ya Namungo FC, jana Mei 3, 2022, Chama hakuwepo hata kwenye benchi la timu hiyo.
Kutokana na hali hiyo hapo ni wazi wawili hao hawawezi kufanya kazi pamoja na mmoja lazima aondoke, inaaminika kuwa kinachombakisha Pablo mpaka sasa ni kwa kuwa kuna uwezekano wa Simba kukutana na Yanga kwa mara nyingine katika Kombe la FA.
Kama atashindwa kuingia fainali ya FA ni wazi kuwa safari yake itauwa imewadia mapema zaidi ya inavyoelezwa, pia viongozi wa Simba wanaona ameshindwa kuinua viwango vya wachezaji wengi msimu huu.
Unafananisha ubora wa AM na CM kwa kigezo cha magoli.Na anamzidi magoli Aucho , unadhani Aucho hali yake ipoje kama Chama kaisha?
Hayakuhusu. Umbeya tu umekuzidi.Sisi ambao ni mashabiki wa Yanga tuushike ukweli upi?
Mwanzo mlisema ni kocha mzuri mmemtoa madrid saivi bora arudi madrid.
Mtu mzima hovyo!!! Kumbe muliyazoea!!! Sasa cha ajabu ni nini?Basi ngoja nitumie lugha ya kukuna na kupapasa...! Ndani ya misimu miwili, makocha watatu! Bado si haba. Mko vizuri.
Haya mambo tuliyazoea huku kwetu wakati tunakisuka kukosi chetu! Ila kwa sasa naona yamehamia kwenu.
Kweli huko kwenu wenye akili ni wawili tu Kama alivyosema fulani.Aende wapi tena! Kwani si tulikubaliana Pablo ameshawahi kuzifundisha Real Madrid na Getafe! Na hivyo tukimpa muda, ataigeuza timu yetu kuwa Real Madrid ya Bongo!
Mimi naona aendelee tu kubaki mpaka pale mkataba wake utakapokwisha.
Sawa babra nimekuelewa vizuri tuHayakuhusu. Umbeya tu umekuzidi.
Masikio juu hulali kusikiliza chumba cha jirani.
Haaaaaaaa,na wewe ni Simba?Duuuuh yaan sijui simba huwa tunakutwa na nn khaaah.
kwani kishingo aliondoka msimu upi gomez?Basi ngoja nitumie lugha ya kukuna na kupapasa...! Ndani ya misimu miwili, makocha watatu! Bado si haba. Mko vizuri.
Haya mambo tuliyazoea huku kwetu wakati tunakisuka kukosi chetu! Ila kwa sasa naona yamehamia kwenu.
Halafu ubingwa bado upo wazi. Wakianza kuvurugana hivi ndio nitolee hiyo tena. Faida kwa Yanga.Simba wekeni tofauti pembeni, benchi la ufundi na wachezaji wote kwa ujumla ipambanieni timu tupate matokeo.
Dakika za majeruhi hizi Nguvu Mmoja.
Kwanini Jamiiforums wana Kitufe cha Change ID na tena wanaruhusu Kubadili ID Mara tano?Kwa nini ulbadili ID?
Siitwi GENTAMYCINE kama ambavyo Mpunbavu Wewe na Wenzako wengi hapa mnadhani ila naitwa MINOCYCLINE Tunu Kuu ya JamiiForums.Gentanycin popoma! Umerudi tena, kwa ID nyingine...naomba mod waipige na hii BAN kama ile nyingine sijui imefutwa kabisa au ndio BAN ya mwaka mzima.
Wanakuzuia nn mkuu..? Wewe si utopolo. Huku kwetu vipi..?Huyo Mmadrada na Chama wote waondoke