Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Nondo mla watu😀😀
Exclusive kwa wahenga
 
Inafikirisha sana,huyu kocha wetu kageuka mchambuzi!Anasubiri watendaji wa chini yake wakosee aje awashambulie kwenye TV!Wakati huo huo yeye kajificha huko bush!Za kuambiwa changanya na zako!
 
Lituye,
Eti yeye ni mtetezi wa walalahoi, kweli wanyonge tuna bahati mbaya nchi hii.
 
COVID-19 itaanika mengi, hata robo ya maambukizi bado - ndiyo tunaelekea
 
Mugambo wanaruka na kukanyagana
Wote wamesimama, wanaruka kinyama
Mugambo wanaruka na kukanyagana
HIIIIIIII, ANACHEEEKAAAA.

Sema kipindi hiki Nature alikuwa on fire sana. Mpaka akachukua ile tuzo Sauzi kwa makaburu
 
Ha ha ha asee!
Nchi hii ukiifuatilia kwa umakini utagundua Corona iliingia kipindi kile anakagua daraja la Ubungo akapitia moro, then Dodoma kwenye mawe then to Chato.

Kiashiria cha kutokuwepo kwa corona nchini ni mwenyekiti wa chama kuwa katika ofisi mbili ile ya Dodoma au Dar.

Asipokuwa katika ofisi hizo endelea kujua kuwa hali ni mbaya nawe kama una uwezo jichimbie ndani mpka bwana mkubwa akitoka chato nawe utoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Commandoo katoka nduki sijui bado kuna watanzania wametundika ukutani zile kalenda za migwanda ya jeshi?
 
Habari wakuu,

Tangu nchi hii ipate uhuru haijawahi kutokea rais akaenda kuishi sehemu tofauti ya Dar es salaam na Dodoma kwa zaidi ya siku 30

Inakuaje rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameenda sehemu kinyume na ilivyozoeleka bila ya kututangazia kwamba kuna mabadiliko?

Tanzania ni kubwa, rais anaweza kuwa ofisini sehemu yoyote ile ndio sawa tunakubali lakini lazima tujuzwe sababu za kwanini ahamie sehemu fulani? Kipindi anahamishia makao makuu Dodoma tuliambiwa. Yeye binafsi kuhamia Dodoma tuliambiwa pia.

Hapa kuna ukweli unafichwa, serikali mtuambie ukweli rais Magufuli amekutwa na tatizo gani?
 
Kuna mengine yafaa KUACHWA peke yake kama yalivyo [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom