Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Inaitwa both team to scoreKocha mkuu kakimbia timu, kocha msaidizi naye kaisusa timu, Timu imebaki na keputeni na kiungo mchezeshaji, Benchi la ufundi wanalia ukata wa zana za kufanyia mazoezi, Dactari wa timu amekimbia kisa vifaa tiba kwa wachezaji, mchezaji akiumia uwanjani anatibiwa na wachezaji wenzie
Mechi imekuwa ngumu mashambulizi toka kila upande wa uwanja kulekea upande wetu je tutatoboa hii mechi?
Je kocha atalejea baada ya timu kushinda mechi au atajiuzulu moja kwa moja?
Sent using Jamii Forums mobile app