Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Likizo itaisha pale Corona itakapokwisha au Tiba itakapopatikana!Si mlikuwa mnalalamika sijui misafara inawasababishia foleni,haya amewaachia mji wenu mpige kazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wangu mhurumie kiumbe wako huyu,mpe akili zaidi ya hizi za kuvukia barabara. AmenHongera sana JPM kwa kuchukua likizo baada ya kazi kubwa ya kuinua uchumi wa Tanzania. You definitely deserves it, after hard work. Tunasubiri ukimaliza likizo uje utatue matatizo yanayoikabili hii nchi ili tuondokane na umasikini uliokuwa unaota mizizi.
Mungu wangu mhurumie kiumbe wako huyu,mpe akili zaidi ya hizi za kuvukia barabara. Amen
Nani kasema ana likizo? Nimesema #Rais hapumziki ila ofisi yake yaweza kuwa popote hata chini ya mti, wewe unasema amekimbia? Huo ndiyo wehu chipukizi.Kama likizo msemaji angesema mapema baada ya kuona aibu mnakuja na mapambio ya likizo wanaume tupo dar es salaam WAVULANA wapo chato
Yaani rais Magufuli angekuwa rais wa Tanzania toka siku ile tunapata Uhuru,pesa tulizopoteza kujenga ikulu ya Magogoni na ile ya chamwino Dodoma tungezitumia kujenga fly over pale mwenge huyu ni mchapakazi sana hahitaji Yale majengo kufanya kazi zake yeye popote,hata kushuka kwenye gari unaona muda mwingine anapitia dirishani,Mara kwenye roof ilimradi tu kazi ichapwe.Nani kasema ana likizo? Nimesema #Rais hapumziki ila ofisi yake yaweza kuwa popote hata chini ya mti, wewe unasema amekimbia? Huo ndiyo wehu chipukizi.
Ungeandika tu Kiswahili, Hicho ni Kingereza cha hovyo.Hongera sana JPM kwa kuchukua likizo baada ya kazi kubwa ya kuinua uchumi wa Tanzania. You definitely deserves it, after hard work. Tunasubiri ukimaliza likizo uje utatue matatizo yanayoikabili hii nchi ili tuondokane na umasikini uliokuwa unaota mizizi.