Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Paul Kagame? Hao wazushi tu.'Niogope mini kipindi hiki"......alisema Victoire......
Rwanda....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paul Kagame? Hao wazushi tu.'Niogope mini kipindi hiki"......alisema Victoire......
Rwanda....!!
Hizi Media hizi.......!!!!changanya na zakoo.....!!!Paul Kagame ?Hao wazushi tu.
Najiuliza hawa washangiliaje wake wanautoa wapi huu ujasiri? Hivi wanafahamu kuwa wao pia ni abiria wake? Nahodha kajitosa halafu bado kuna wanaomshangilia na kumsifia kwa uhodari wa kuogelea?
Huko kwenye Lockdown mbona maambukizi na vifo kama kawaida !!
No It can't be 29 days!. Si ni juzi kati tuu tumemshuhudia basking in the sun kwenye yale majabali pale Dodoma, siku 29 zimefika lini?.Pascal, haijawahi kutokea akajichimbia siku 29 now!.
Gellangi,
Upuuzi mwingine bhana. Alafu kesho mtu kama wewe atakuja bishana na mtu kuwa oooh, urais ni taasisi.
Hivi waziri mkuu ambaye alikabidhiwa rasmi hii ishu tena laivu hatukuona? Akaunda timu yake ya kuongoza juu ya hii ishu. Au ishu ni jamaa aoneoane tu ktk tv.? Dah!
Ilikuwa tarehe 28 March 2020 alipofika Chato. It is 26 days which makes a difference not significant... kweli una mapenzi na Msukuma mwenzako! Ukabila upo pale pale! Rais siku 25 yuko kijijini kwenye crisis kama hii, unaona ni kawaida?No It can't be 29 days!. Si ni juzi kati tuu tumemshuhudia basking in the sun kwenye yale majabali pale Dodoma, siku 29 zimefika lini?.
P
Haisaidii kupunguza maambukizi kama baadhi wataLockdown wakati wengine wanapuyanga.Yaah hapa ni muhimu kila mtu kujikinga bila kusubili kuambiwa unakuta mtu anapiga kelele ya kua iwekwe lockdown lakin mda huo yupo mtaani hasa nae anasubili serikali iseme tutailamu serikal bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye maisha ukiona mtu yeyeote ambaye ni mkali kupita kiasi .... na anajiitaa yeye ni mkali na jiwe basi jua kuwa hiyo ni camoufledge ya kuficha uoga wake ...... anahakikisha anawatisha watu wawe mbali ..jiwe mwoga sana,nilikuwa nashangaa walinzi wote wale
Ilikuwa tarehe 28 March 2020 alipofika Chato. It is 26 days which makes a difference not significant... kweli una mapenzi na Msukuma mwenzako! Ukabila upo pale pale! Rais siku 25 yuko kijijini kwenye crisis kama hii, unaona ni kawaida?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma.
Baada ya maneno hayo, basi tunaomba useme, nahodha yuko wapi?????Kuna mwongoza mtumbwi mmoja aliulizwa swali na abiria wake Kama Ana degree kuendedha chombo chake, yeye akajibu tu Hana. Baadaye akashushiwa swali lingine, Kama huna degree unawezaje kuendedha chombo hiki, yeye akatikisa kichwa safari ikaendelea. Walipofika katikati ya maji marefu Mara ghafla Hali ikabadilika. Upepo mkali ukaanza kuvuma.
Mvuvi akajitahidi kwa kadri alivyoweza na ilpobadilka kuwa mbaya zaidi akamgeukia abiria wake na kumuuliza Kama anaweza kuogelea. Abiria akajibu kuwa hawezi, mvuzi akamrudishia swali lake, si una digrii.
Sasa tujifunze kuwa dhamana ya afya yako Ni wewe mwenyewe kufuata masharti na kuzingatia maelekezo. Tuachane na ama Fulani Yuko wapi atatuokoa
Sent using Jamii Forums mobile app