Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Makosa yalitokea pindi tulipoufuta unyapara... lakini ifike wakati tukemeane vilivyo na elimu itolewe ipasavyo maana hata suala la kunawa ni kama bado halijaeleweka vema
Hilo la kunawa bado watu hawaliamini kwnye hiyo hiyo coaster kuna kaka pia alipanda njiani konda anampulizia dawa hakutaka kupuliza mikono yote miwili 'they think it is a bother but it will cost us'
 
Hilo la kunawa bado watu hawaliamini kwnye hiyo hiyo coaster kuna kaka pia alipanda njiani konda anampulizia dawa hakutaka kupuliza mikono yote miwili 'they think it is a bother but it will cost us'
Kusadiki kwa Toma... ama wale jamaa zetu husema "kusikia kwa kenge...."
Ila pia tuangalie Sweden ambao hawakuweka lockdown wanafaulu vipi ama wapi wanafeli katika janga hili!?
Muhimu ni kujikinga na kuwakinga wengine pia kadri tuwezavyo
 
Gellangi,
Wacha waisome nambaee, CCM mbele kwa mbele. Chaguo letu wenyewe, tumelipenda wenyewe, ...........

Nani alaumiwe ?
 
Ndiyo! Where is Mr. President?
Mwenye habari kamili za alipo rais wa Tanzania atujibu haya maswali...
Anafanya nini huko alipo?
Je, yupo karantini au self lockdown?
Je, anaumwa? Kama ndiyo anaumwa nini?
Kama haumwi je yupo likizo? Kama ndiyo je ni unpaid leave?
Kama hayupo likizo je ni lini atarudi ofisini?
Je serikali yake ina mikakati gani ya muda mfupi na ya muda mrefu kukabiliana na kusambaa kwa Covid-19?
Je serikali yake ina mikakati gani ya kuwakinga wahudumu wa afya dhidi ya maambukizi ya Covid-19?
Je serikali yake ina mikakati gani ya kuboresha miundombinu, vifaatiba na huduma muhimu kwenye hospitali za umma?
Je serikali yake ina mikakati ipi ya kutoa nafuu ya kiuchumi kwa wananchi ambao hali zao zinazidi kuwa tete??
 
Nimewahi kiti Cha siti ya mbele.
Uzi tayari.
 
Chezea covid 19 wewe ? Aisee chezea kitu kingine bwa shee
 
Mkuu ngoja covid 19 ipungue, ila nimejua the difference btn lockup n lockdown
 
..hata mama samia sijamsikia.

..labda na yeye kachukua likizo ya covid19.
Hao itakuwa wana underlying issues. Sasa kimelea kikija juu yake,kuwatibu itakuwa mtihani. Bora waaply social distance.
 
Does it answer our 3 good days of fasting and praying, national wise, agaist that little monster (cocroach)?
 
Back
Top Bottom