Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Corona inashughulikiwa na ofisi ya Waziri Mkuu halijafikia level kubwa makamu wa Rais au Rais kuongea kila siku

Huo Ndio mgawanyo wa madaraka

Nchi ipo salama vijana acheni mihemuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja vyada vya SISIEMU vije

[emoji2211][emoji2211][emoji2211]mjumbe nakwenda!

Sent from my SM-A750F using Tapatalk
 
DIZZO MTAWALA,
Kwenye hili kama Corona ingekuwa ni Chadema, ndipo ungeona makucha makali ya mkuu wa nchi.

Risasi za moto zingetumika mchana kweupeeee

Seek respect, not attention. It lasts longer
 
Sina uhakika kama safari ya nchi ya ahadi tutafika maana duuu
Hatutafika endapo Watanzania tutaendelea kuwaruhusu hawa jamaa kuendelea kututawala wapendavyo.Ni lazima kama Taifa tuseme inatosha na tuweke mifumo bora ya kupata viongozi Bora.

Kumbukeni Mwl.Nyerere aliwahi kutuasa kuwa ili Nchi iendelee inahitaji vitu vinne-1.Watu,2.Ardhi,3.Siasa Safi na 4.Uongozi Bora.Tuanataka CCM mtuambie kwa miaka 59 ya Uhuru ni kitu gani kinachotuzuia Nchi yete isiendelee kati ya hivyo vitu vinne?

Kwa mawazzo yangu.tunakosa namba 3&4 kwa sababu ya chama kinachotakiwa kutupatia Dira na Mwongozo wa kufikia maendeleo yetu.

Hivyo,kubalini kushindwa kutufikisha tunapostahili kimaendeleo kwa sababu hamna dira wala dhamira ya kutuendeleza zaidi ya kujinenepesha na kunenepeshana wenyewe kwa wenyewe.Haya yanatokea katika Nchi ambayo Muumbaji wa Dunia aliipatia raslimali lukuki ila imekosa Siasa Safi na Uongozi na Viongozi Bora.

Tudai Katiba ya Wananchi,tuweke misingi mipya kwa maridhiano na kuacha ubinafsi wa watu/kikundi cha watu wachache waliojimilkisha Nchi yetu huku wakijitangaza kuwa ni wazalendo namba moja-HADAA TUPU.Kama siyo hadaa,Kwanini hamtaki Katiba ya Wananchi?Hatudanganyiki.
 
Jamami, msiwe wepesi wa kusahau kuhusu kauli na matamshi ya huyu bwana mnaemtaka atoke huko aliko na aseme japo mawili machache katika kupambana na hii janga.

Naomba niwatahadhirihe tu kuwa akitoka mafichoni na kufanya mnachokitaka na ambacho ni wajibu wake kwa nafasi yake,tutaishia kusema ni bora tu angebaki huko aliko na zaidi tutabaki kusononeka tu katika nafsi zetu.

Kwa mtazamo wangu,mbali na uwezekano wa kutamka msiyoyatarajia,anaweza hata kuwatolea uvivu badala ya ku-address tatizo la msingi.

Hivyo, muacheni tu abaki huko aliko na sisi tujiongoze wenyewe ingawa kwa nafasi yake yeye ni mtu muhimu katika mapambano haya.

Muda utaongea.
 
Mzee mopao hajui kugombania mambo ya kimataifa we kitu kimekuja toka anga za mbali huko halafu yeye ni local local sana muacheni maana hapendagi kuingilia ugomvi wa ndugu haswa wa kimataifa
 
Salary Slip,
Sasa nyie mabinti wa Bavicha mbona hamueleweki mnataka nini? Si mnataka aje kuwakuna subirini sasa!

Kwanza si ni nyie mlikuwa mnasema anapenda sana kuonekana kila leo? Na angelikuwa anasema kila leo lazima mngesema oooh amechukua nafasi ya waziri wa afya na waziri wa afya hana kazi sasa!

Uzuri Magufuli anajua kuwakomeshwa huwa hayumbishwi na maneno ya watu haahaha na akija hadharani lazima awape za chembe!

Kwani Rais ni Daktari au nurse? Hahahaha nyie wake wa nje huwa mna gubu sana!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Salary Slip,
Kwamba akitoka atatuongezea Machungu na Hasira hivi kumbe Janga hili la CORONA lipo tu Tanzania pekee Ndugu? Kazi ipo!
 
Salary Slip,
Naona unamuota kila wakati hata hivyo huwezi kumfanya lolote utabaki na stress zako tu. Chezea ngosha wewe!! Hakuna cha madeal tena amethibiti kweli kweli naona njaa inakuuma ile mbaya!!
 
Kuji karantine si lazima utangazeee...akili mu kichwa!!
 
Back
Top Bottom