secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Usipende kuombea binadamu wenzio mabaya..Kama ilivompata hawara yako
mara nyingi hukurudia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kuombea binadamu wenzio mabaya..Kama ilivompata hawara yako
Sina uhakika kama safari ya nchi ya ahadi tutafika maana duuuWetu Mimi na nani?Hivi mkiulizwa mnaongoza nchi huku mmefumba macho utasemaje?
Kwa taarifa yako Mimi ni abiria wa chombo kinachoenda mrama kwa sababu Nahodha kajitosa,hayo ya Mh.Lissu ni hoja nyingine.
Acha ramli,tusaidiane kumrejesha Nahodha wetu.Kama hataki kazi tuliyompatia atujulishe rasmi tumtafute Nahodha wa ukweli.
Ni bora hats asingekiondoa chombo Bandarini 2015 kama alikuwa anajifahamu yeye mawimbi hayamudu.
Watanzania wanaangamia kwa Corona wewe unahamasisha habari za CDM?Msiwatoe watu kwenye reli,tuambie tuanze lini Partial/Total Lockdown kama nchi?Kweli wewe Ni mzushi unafikiri raisi ni kama vyicheo vyenu vya pale ufipa kutengua na kuteua Ni uamuzi wake atakapo ona msaidizi yupi atenguliwe yupi ateuliwe kumbe kwako ni big ishu ungedili Kwanza na matatizo ya Sacco's yenu ingekuwa Bora zaidi SUMU HAIONJWI KWA MDOMO
Yupo lockdown watanzania chapeni kazi chukueni tahadhali mzingatie maelekezo ya wataalam wa afya! Nadhan kauli Kama hii ukiidadavua kwaa umakini huna haja ya kulialia mzee yupo wapi yeye kashachukua tahadhali wewe je! Kazi ni kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkuu zaidi yake. Na huyo ndiye haswa ana wajibu huu. Tumeona dunia nzima hao wakuu wakifanya kwa vitendo kuonyesha wanajali maisha ya 'waajiri' wao.Umesema Viongozi Wakuu kwani Waziri Mkuu Majaliwa siyo Kiongozi Mkuu?
Leo nimependa kuuliza hili swali kwasababu ya haya yanayoendelea. Nchi ipo kwenye tension kubwa lakini hatuoni hatua madhubuti (tangible) zikichuliwa na Rais kama kiongozi mkuu na Amiri jeshi mkuu.
Naona Marais wa nchi nyingine wakitoa taarifa kwa umma kuhusu mikakati inayochukuliwa kuepuka au kudhibiti janga hili la corona na jinsi hali halisi ilivyo.
Ikumbukwe pia kuwa Rais ni Comforter in Chief. Sasa kama hatimizi haya na mengine kuna uhalali gani wa kuendelea nae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani Rais ameishiwa maarifa.Nadhani Rais amezidiwa maarifa
Umeomba kuelimishwa halafu unasema "unachojua". Kama neno hulijui uliza tu moja kwa moja.Nikielimishwa zaidi kuhusu neno Kujificha na maana yake nitarudi Kuchangia ila ninachokijua Rais Dkt. Magufuli hajajificha.
Umeomba kuelimishwa halafu unasema "unachojua". Kama neno hulijui uliza tu moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app