Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahonda amekimbia merikebu wakati wa dhoroba. Amejificha chini ya mti halafu anaomba merikebu ifike salama.Kusema kweli mh Rais anafanya nini nyumbani?
Askari wa mabuaKumbe hanalolote,mwepesi tu.
Anamsubiria mheshimiwa aende akawazuie, azuie Corona sijui kwa mkono,amwambie akae ndani na familia yake, avae barakoa pia dah! kutawala watanzania wanafiki kazi sana.Ww kama mtz unaeipenda nchi yako umechukua hatua gani baada ya kuona wakenya wengi wanaingia huko Mara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aje amelogwa? Kile kifaa kikipata even a single one virus, gone!Arafu kanywa kahawa kipindi cha kwaresma.hapohapo anatuambia tumuombe mungu.sijui mungu gani anae muabudu yeye.hata kufunga alishindwa.
Umem miss eeh?Tangu March 28, 2020 alipoonekana Chato akinywa kahawa, hadi leo hajatoka. Pasaka kailia nyumbani, mwezi sasa unakaribia kukata akiwa likizo. Je, huwa ana likizo ya siku ngapi?
Ni jambo jema lakini katika hali kama hii, yeye kama namba moja inabidi awe mfano katika mapambano haya akiwa ikulu ya Dar es salaam kwasababu hajatangaza kuhamia rasmi Dodoma.
Tunakuomba uige kwa Mseven, kwa Kenyatta, pia kwa John Trump wa USA.
View attachment 1425111
Ni Donald Trump SIO John TrumpTangu March 28, 2020 alipoonekana Chato akinywa kahawa, hadi leo hajatoka. Pasaka kailia nyumbani, mwezi sasa unakaribia kukata akiwa likizo. Je, huwa ana likizo ya siku ngapi?
Ni jambo jema lakini katika hali kama hii, yeye kama namba moja inabidi awe mfano katika mapambano haya akiwa ikulu ya Dar es salaam kwasababu hajatangaza kuhamia rasmi Dodoma.
Tunakuomba uige kwa Mseven, kwa Kenyatta, pia kwa John Trump wa USA.
View attachment 1425111
Watanzania tuamue kujifungia wenyewe kwa sababu watawala hawapo tayari kuwaambia Hivyo. Wao wameshajifungia,Nahodha wetu ni mfano maana sasa ni dhahiri kajitosa.Chombo chaenda mrama.Yupo lockdown watanzania chapeni kazi chukueni tahadhali mzingatie maelekezo ya wataalam wa afya! Nadhan kauli Kama hii ukiidadavua kwaa umakini huna haja ya kulialia mzee yupo wapi yeye kashachukua tahadhali wewe je! Kazi ni kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ilivompata hawara yakoSio ikupate ww kwanza
Mie haziwezi kupitiliza kama zinazopitiliza zako na za mkeo mana wote mnapitiamo umo umo so mme na mke haijulikani ni yupiUkiwa kwenye siku zako jaribu kuwa mtulivu ukiwa unapenda kuropoka hovyo utazipitiliza