Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Ushasahau alishakunywa kikombe cha babu wa Loliondo?
Kweli aisee,yale ndio anayo yaamini kuliko yote.na akisikia kuna babu anatoa chanjo ya corona naona yeye atakuwa wakwanza kufika.atapiga ban wote ilimladi yeye awe wa kwanza.
 
Nadhani anafanya utalii wa ndani. Wale wanyama tuliwahamishia kule wameshaanza kuzaliana

Hahaha, hapo nimekupata babu.

Ukute yuko anafanya kuhesabu wale wanyama aje na idadi zake zile za kuweka mpaka points.
 
Hahaha! Wewe utakufa na presha kama corona haitakupitia.
Yaani huyo rais ndo kwanzaaa anaitafuta nusu ya miaka kumi!!
Wewe kwa hiyo roho yako NGOZI ITAKUBANA MPAKA ITACHANIKA. Yeye yupo sanaa.

Rubbish & Non-sense!!!
 
Nataman kuandika kitu ila nasita

Ila kiuhalisia hali n mbaya tena huku mara wakeny wanaingia sana tanzania sijui huyu rais wetu na watu wake kama wana akili timamu bas tu


Bora uzee kuliko uzembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww kama mtz unaeipenda nchi yako umechukua hatua gani baada ya kuona wakenya wengi wanaingia huko Mara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Covid noma, sasa John Trump ndio nani!

Mara wengine kwanini kanywa kahawa kwaresma😀
 
Mi binafsi naelewa why mzee kaamau kujifichia chato

Dar hakumfai mzee huu ugonjwa ni hatari sana kwake Bora abaki huko huko Hadi Mambo yatengamae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom