Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Wazungu wakija na kuua viongoz kama hawa mnasema wameua Rais mzalendo.shiiiit
 
Tangu March 28, 2020 alipoonekana Chato akinywa kahawa, hadi leo hajatoka. Pasaka kailia nyumbani, mwezi sasa unakaribia kukata akiwa likizo. Je, huwa ana likizo ya siku ngapi?

Ni jambo jema lakini katika hali kama hii, yeye kama namba moja inabidi awe mfano katika mapambano haya akiwa ikulu ya Dar es salaam kwasababu hajatangaza kuhamia rasmi Dodoma.

Tunakuomba uige kwa Mseven, kwa Kenyatta, pia kwa John Trump wa USA.

View attachment 1425111
Sema kikundi Cha wahuni wa mtaa ufipa wakiongozwa na TRAITOR tindo liso
 
Watu Wawili wanastahili Kuwawakilisha Wananchi wote 55+ Million waliopo Tanzania? Halafu hakuna Rais Mseven kama ulivyoandika hapa bali kuna Rais Museveni. Vilevile haijaandikwa mahala popote pale kwamba ni lazima Rais fulani amuige Rais mwingine hasa katika Kukabiliana na Janga hili baya la CORONA. Anaweza akawa kweli hajitokezi Kuzungumza na Wananchi ila akawa anatoa Maelekezo yake ya uhakika kwa Wasaidizi wake hao akina Majaliwa na Ummy na bado mambo yakawa yanaenda vile inavyotakiwa. Halafu Watanzania hatuhitaji Rais ajitokeze hovyo hovyo bali tunahitaji Mikakati Madhubuti ya Serikali kwa Kushirikiana na Wadau juu ya Kulikabili hili tatizo. Na tunaposema kuwa Rais hajitokezi hadharani Kipindi hiki cha hili Janga sidhani kama ni kweli au tunamtendea haki kwani hata hapa juzi kati tu alijitokeza akiwa huko aliko na Kuligusia hili Suala ( Janga ) na Kulitolea Ufafanuzi na hadi Maelekezo mapya. COVID-19 si ya Magufuli pekee bali ni ya Watanzania, wana Afrika Mashariki, wana Afrika na Ulimwengu mzima. Ni kweli Rais Dkt. Magufuli kama Binadamu anaweza akawa na Mapungufu yake ila nasi hasa ( Wanasiasa wa Upinzani ) na Wanaomchukia kwasababu zao / zetu tu Binafsi tumezidi Kumtupia Lawama na Kumshutumu kupita Kiasi.
Ni vyema akaonekana kama vaba wa nyumbani hata kama hataki kutenda kama amiri jeshi katika mapambano! Unesema vyema kwamba korona ni ya dunia nzima na tumeona vikevile dunia nzima viongozi wa kuu wanavyoshughulika.
 
Naskia chato kai lockdown hakuna bunadamu yyte kuingia.Natamani kma corona ingempata huyu jamas aonje joto ya jiwe
Ikitokea nikapata dalili nitaenda kutalii burigi na rubondo ili angalau nimsogezee karibu...hili tatizo ni letu sote😀
 
Yaani nchi hii inavyoonekana kumekuwa na wavulana wengi.sana kuliko watu wazima yaani kakijisikia kujamba kanajamba tu bila mpangilio. Hivi mtu mzima unaweza ukaja na kapost kama haka eti wananchi? Hivi siku hizi tuwatu tuwili tukitengeneza kaigizo kao kakijinga unakuja na kapost eti wananchi wamesema. Hivi huwa mnatafakari kabla ya kupost. Hivi kumbe likizo ya rais huwa inapangwa na wananchi? Hata kama humtaki huyu rais mpe tu heshima yake maana huwezi badiri kitu chochote atabaki kuwa rais tu. Pole
Sio kosa lake katumwa na kakikundi ka wahuni pale mtaa wa ufipa
 
Watu Wawili wanastahili Kuwawakilisha Wananchi wote 55+ Million waliopo Tanzania? Halafu hakuna Rais Mseven kama ulivyoandika hapa bali kuna Rais Museveni. Vilevile haijaandikwa mahala popote pale kwamba ni lazima Rais fulani amuige Rais mwingine hasa katika Kukabiliana na Janga hili baya la CORONA. Anaweza akawa kweli hajitokezi Kuzungumza na Wananchi ila akawa anatoa Maelekezo yake ya uhakika kwa Wasaidizi wake hao akina Majaliwa na Ummy na bado mambo yakawa yanaenda vile inavyotakiwa. Halafu Watanzania hatuhitaji Rais ajitokeze hovyo hovyo bali tunahitaji Mikakati Madhubuti ya Serikali kwa Kushirikiana na Wadau juu ya Kulikabili hili tatizo. Na tunaposema kuwa Rais hajitokezi hadharani Kipindi hiki cha hili Janga sidhani kama ni kweli au tunamtendea haki kwani hata hapa juzi kati tu alijitokeza akiwa huko aliko na Kuligusia hili Suala ( Janga ) na Kulitolea Ufafanuzi na hadi Maelekezo mapya. COVID-19 si ya Magufuli pekee bali ni ya Watanzania, wana Afrika Mashariki, wana Afrika na Ulimwengu mzima. Ni kweli Rais Dkt. Magufuli kama Binadamu anaweza akawa na Mapungufu yake ila nasi hasa ( Wanasiasa wa Upinzani ) na Wanaomchukia kwasababu zao / zetu tu Binafsi tumezidi Kumtupia Lawama na Kumshutumu kupita Kiasi.
Mwenye akili tu atakuelewa mkuu
 
Ni vyema akaonekana kama vaba wa nyumbani hata kama hataki kutenda kama amiri jeshi katika mapambano! Unesema vyema kwamba korona ni ya dunia nzima na tumeona vikevile dunia nzima viongozi wa kuu wanavyoshughulika.

Umesema Viongozi Wakuu kwani Waziri Mkuu Majaliwa siyo Kiongozi Mkuu?
 
Back
Top Bottom