Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Msimuonee bure rais jamani. Kovidi inatisha. Rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari naye kajificha pamoja na makamu wake. Haijulikani kama nao wamenasa kwasababu marehemu chief of staff Abba Kyari aliyefariki kwa kovidi alikutana nao alipotoka Ujerumani. Yani Safu ya viongozi wote wa juu wako Hibernation.

Hii kitu inatisha isikie tu, policcm hawezi kusaidia ni kujificha tu kwenye maandaki.
 
tuseme tu ule ukweli ingekua wewe ungerudi Dar??? 😂😂😂😂
Kwani hujipendi
[/QUOTE]
Unajua maana ya kua raia namba moja wa nchi? ni zaidi ya Askari potea.
 
“Atakayesalia kuishi Dar ni mwanamme”.... mwisho wa kunukuu.
 
Yaani nchi hii inavyoonekana kumekuwa na wavulana wengi.sana kuliko watu wazima yaani kakijisikia kujamba kanajamba tu bila mpangilio. Hivi mtu mzima unaweza ukaja na kapost kama haka eti wananchi?

Hivi siku hizi tuwatu tuwili tukitengeneza kaigizo kao kakijinga unakuja na kapost eti wananchi wamesema. Hivi huwa mnatafakari kabla ya kupost.

Hivi kumbe likizo ya rais huwa inapangwa na wananchi? Hata kama humtaki huyu rais mpe tu heshima yake maana huwezi badiri kitu chochote atabaki kuwa rais tu. Pole
 
Back
Top Bottom