Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Chombo kaachiwa Bashite kila siku anatoa matamko mara twende kaskazini mara mashariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahodha wetu tunaambiwa yupo mapumzikoni,je tukisema kajitosa baharini na kutuachia chombo kielee kwenda kuzama tunakosea?
Tuamini kuwa tupo salama?Tuamini kuwa Nahodha hajajitosa na kuacha chombo katikati ya mawimbi makali?
Acha kupaniki ngosha, relax swali, Magufuli anafanya nini chato???Upuuzi mwingine bhana. Alafu kesho mtu kama wewe atakuja bishana na mtu kuwa oooh, urais ni taasisi.
hivi waziri mkuu ambaye alikabidhiwa rasmi hii ishu tena laivu hatukuona? Akaunda timu yake ya kuongoza juu ya hii ishu. Au ishu ni jamaa aoneoane tu ktk tv.? Dah!
Si ujilock down wewe mwenyewe?Corona bila lockdown itatumaliza, ilikuwa Arusha, Dar na Zanzibar hatukuona haja ya lockdown eti tutakufa njaa. Sasa tuna wagonjwa mikoani na hakuna kinachoonekana kufanyika, hatujaamua bado kulock maeneo yenye wagonjwa.
Mpuuzi mwingine huyu hapa. Ulitaka umwone JPM akiwa maabara anapima sampuli yako ndo ujue yupo kazini? Hovyo kabisaNadhan upuuzi ni yule anayetetea upuuzi, nakufananisha wewe na baba wa familia kukimbia nyumba yake ikipata matatizo huku ukiwatumia msg za kukatisha tamaa kuwa familia ianze kufanya maombi, wakati ulikuwa na nafasi ya kuikinga familia yako
Tazama idadi ya wanaopona mbwiga wewe ukitoa unaona kabisa tumewaacha mbali sana kwa wanaoumwaAkili za Kimburula kweli, Wewe umeanza lini kumchagulia Nohodha mahali pa Kukaa. Mbona Tundu yupo ulaya na kutwa anashinda JF kupitia comment na anagundua kumbe wanaomsifia ni Bavicha Tu.
Nchi Jirani walianza lockdown kabla ya Corona kusambaa mbona wana Idadi ya kutisha. Tundu acha kutupangia Maisha wakati upo Karantini.
Ficha ujinga wako usiidhalilishe familia yako, huu ndio wakati alitakiwa awe mstari wa mbele sio kwenda kujificha huko alipo ameonyesha hatufai.Mpuuzi
Mpuuzi mwingine huyu hapa. Ulitaka umwone JPM akiwa maabara anapima sampuli yako ndo ujue yupo kazini? Hovyo kabisa
Ninachokiona kwa sasa umaarufu wa Magufuli umeshuka vibaya sana na kwenye Uchaguzi mkuu kama wasipouchafua basi anguko kuu laja swali ni je watakubali kuachia hatamu?
Au itatubidi turumie njia nyingine ili tuwang'oe ccm waliong'ang'ania madaraka
Siyo Nahodha, hatumfahamu huyo. Nahodha wetu hàfanani na huyo uliyemtaja.Chombo kaachiwa Bashite kila siku anatoa matamko mara twende kaskazini mara mashariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho usipende kutukana wenzio,utakuwa na Tabia mbaya,nitakusemelea kwa babako.Kama hiz
Kama hizi ndiyo akili za watetezi wa Nahodha,sina shaka tena kwa nini kajitosa.Amekutuma kumtafuta Mh.Lissu?Huyo ndiyo Nahodha ajaye,mbona hamjiamini?Kwa hiyo kila anayemtafuta Nahodha mnadhani ni Lissu.
Suala LA Mh.Lissu kuwa karantini au LA anafahamu Dr wake,je Nahodha wetu naye yupo huko?