Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Ninachokiona kwa sasa umaarufu wa Magufuli umeshuka vibaya sana na kwenye Uchaguzi mkuu kama wasipouchafua basi anguko kuu laja swali ni je watakubali kuachia hatamu?

Au itatubidi turumie njia nyingine ili tuwang'oe ccm waliong'ang'ania madaraka
 
Upuuzi mwingine bhana. Alafu kesho mtu kama wewe atakuja bishana na mtu kuwa oooh, urais ni taasisi.
hivi waziri mkuu ambaye alikabidhiwa rasmi hii ishu tena laivu hatukuona? Akaunda timu yake ya kuongoza juu ya hii ishu. Au ishu ni jamaa aoneoane tu ktk tv.? Dah!
Nadhan upuuzi ni yule anayetetea upuuzi, nakufananisha wewe na baba wa familia kukimbia nyumba yake ikipata matatizo huku ukiwatumia msg za kukatisha tamaa kuwa familia ianze kufanya maombi, wakati ulikuwa na nafasi ya kuikinga familia yako
 
Najiuliza hawa washangiliaje wake wanautoa wapi huu ujasiri? Hivi wanafahamu kuwa wao pia ni abiria wake? Nahodha kajitosa halafu bado kuna wanaomshangilia na kumsifia kwa uhodari wa kuogelea?
Labda atakuwa nahodha hewa,aliwahi kusema nchi hii kila kitu ni hewa,so usishangae nae akawa hewa
 
Upuuzi mwingine bhana. Alafu kesho mtu kama wewe atakuja bishana na mtu kuwa oooh, urais ni taasisi.
hivi waziri mkuu ambaye alikabidhiwa rasmi hii ishu tena laivu hatukuona? Akaunda timu yake ya kuongoza juu ya hii ishu. Au ishu ni jamaa aoneoane tu ktk tv.? Dah!
Acha utoto basi mkuu!! Hivi ikitokea vita atakabidhiwa waziri? Rais katoroka dsm na kujifungia chato inatoa picha gani kwa watu wake?

Kule china akina Ping walikua na watu wao, Rwanda hapo kagame kila saa anatoa updates, Trump kila saa yuko na jopo lake kuangalia nini kifanyike kukabili korona, sisi jiwe kajifungia chatto baada ya kuona dsm korona inashika kasi!!

Kiongozi bora hupimwa wakati wa majanga na mpaka sasa inaonyesha hatuna kiongozi bora.
 
Upuuzi mwingine bhana. Alafu kesho mtu kama wewe atakuja bishana na mtu kuwa oooh, urais ni taasisi.
hivi waziri mkuu ambaye alikabidhiwa rasmi hii ishu tena laivu hatukuona? Akaunda timu yake ya kuongoza juu ya hii ishu. Au ishu ni jamaa aoneoane tu ktk tv.? Dah!
Kwa hiyo sehemu za kujitafutia umaarufu wa kijinga nahodha huwa hakosekani ila sehemu za kutangaza na kupambana na vifo anakula nduki. Alituaminisha ni kiongozi wa wanyonge, corona imekuja kakimbia mji kwa muda usiojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi mwingine bhana. Alafu kesho mtu kama wewe atakuja bishana na mtu kuwa oooh, urais ni taasisi.
hivi waziri mkuu ambaye alikabidhiwa rasmi hii ishu tena laivu hatukuona? Akaunda timu yake ya kuongoza juu ya hii ishu. Au ishu ni jamaa aoneoane tu ktk tv.? Dah!
Waambie hao..yaani awaoni kua na Trump au Xin Ping yupo nyumbani kabisa wala uwezi kumuona kwenye TV eti akiongelea Covid-19.Achana na wanaufipa hao
 
Ninachokiona kwa sasa umaarufu wa Magufuli umeshuka vibaya sana na kwenye Uchaguzi mkuu kama wasipouchafua basi anguko kuu laja swali ni je watakubali kuachia hatamu?

Au itatubidi turumie njia nyingine ili tuwang'oe ccm waliong'ang'ania madaraka
Hilo wanalifahamu fika ya kuwa hawana ushawishi ndiyo sababu wanatenda mambo bila weledi wowote.

Kila mahali ni majanga-mafuriko, tetemeko, madaraja kuvunjika, Corona na outcome yake kwenye uchumi wa nchi, athari mtambuka zitakazotokea huku tukishudia ishara za kukwama.

Nahodha rudi Chomboni na tuzibe nyufa zinazosababisha chombo kisiwe salama ili safari iendelee.
 
Gellangi,
Magu hana nia njema kwa raia wa nch hii. Anataka watu wapate tabu na ikibidi wafe kwa sera yake ya Expect No Mercy.
 
Hili jukumu alishakabidhiwa PM. Sasa akitangaza waziri au PM hamuwaamini mpaka aje Rais? Hili janga tusilikuze. Wanaokufa kwa ajali ya pikipiki ni wengi kuliko hii corona, bado malaria. Tusilaumu tu kila kitu
 
Upepo wa Pesa,
CCM na washabiki wake mnatushangaza sana, mwanzo mlipotahadharishwa kuwa Corona ni tishio mlisema tupo salama,watalii waje kwa sababu tunahitaji fedha za kigeni,kuwa mnavyo vifaa na vitendea kazi vya kukabiliana na Corona.

Mara ilipoingia mnakimbia mji na kutuambia tumwombe Mungu?Are you serious guys,kama nyie ni wasahaulifu, siye wenye nchi tunakumbuka kila sentensi, neno, koma na nukta katika mliyoyanena.
 
By the time tuna implement lockdown ugonjwa utakuwa umeshasambaa hadi vijijini...

Kwa wazee wetu wa 75+, wagonjwa wa Maradhi ya kudumu hawa ndiyo 1st target...
Hawa wataanza kupotea kisha wengine tutafuata...

Bado sielewi why ilala wafunge bar lakini kwingine business as usual..

Kama hatutaki total lockdown sawa lakini hata ku lock jiji letu na mikoa mingine tumegoma?..

Watanzania tunachezea wembe...Jana Marekani wamekufa watu 4,000+ ; hawa ni watu si mbuzi KWA SIKU imagine.
 
Mimi simfananishi na nahodha wa chombo mimi namfananisha na dereva wa bajaji ambae ameona simba mbele yake ameachia usukani na kukimbilia siti ya nyuma huku yaani amekimbia majukumu yake
Hivi Tundu Lissu atarudi kweli "kugombea urais"?
 
Bermuda Triangle iko mbele sasa unasubiri nini si ujitose baharini hata dolphins wakuokoe?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hivi Tundu Lissu atarudi kweli "kugombea urais"?
Habari za Mh.Lissu zimeingiaje hapa kwenye Uzi wa Nahodha kujitosa Maji ya kina na kuacha chombo bila mwongozo?

Usitutoe relini,tuambie kama umekutana na Nahodha tuliyemkabidhi chombo atuvushe ng'ambo? Huku chomboni hatunaye.
 
Habari za Mh.Lissu zimeingiaje hapa kwenye Uzi wa Nahodha kujitosa Maji ya kina na kuacha chombo bila mwongozo?
Usitutoe relini,tuambie kama umekutana na Nahodha tuliyemkabidhi chombo atuvushe ng'ambo?Huku chomboni hatunaye.
Lissu si ndio Mgombea wenu wa uraisi au ni Membe?
 
Back
Top Bottom