Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Hebu muacheni apumzike jamani, kwani hamjui afya yake spana mkononi.!!
 
Akionekana sana, watu mnasema, "kila kitu yeye", sasa ameamua kuwaachia wengine waendeshe mambo, mnapiga kelele.

Kweli binadamu haridhiki.
 
Hao itakuwa wana underlying issues. Sasa kimelea kikija juu yake,kuwatibu itakuwa mtihani. Bora waaply social distance.

..Dah!!

..kama underlying issues zimewakuta wakiwa kazini, then sawa.

..vinginevyo hawana tofauti na mtu anayesema uongo wakati wa maombi ya kazi. Watu wa vyeti feki wamo ktk kundi hilo.
 
Je serikali yake ina mikakati gani ya muda mfupi na ya muda mrefu kukabiliana na kusambaa kwa Covid-19?
Je serikali yake ina mikakati gani ya kuwakinga wahudumu wa afya dhidi ya maambukizi ya Covid-19?
Je serikali yake ina mikakati gani ya kuboresha miundombinu, vifaatiba na huduma muhimu kwenye hospitali za umma?
Je serikali yake ina mikakati ipi ya kutoa nafuu ya kiuchumi kwa wananchi ambao hali zao zinazidi kuwa tete??
Ungeanzia hapa... Hayo mengine ni upuuzi tu
 
Wafuasi. Wa chadema wakikosa hoja wana tabu sana
Rais. Alifyatua. Mapicha anajivinjari viunga vya ikulu ya dodoma,mlimkebehi sana na kumtukana
Esther bulaya kwa hasira alitweet ''hatutaki kujua Rais yupo wapi''
Leo mnapishana kuuliza alipo rais,yule juha wa ubeleshi eti nae anashauri Rais akae ikulu,hivi Rais asipokaa ikulu atakaa wapi?
 
Magufuli hadhi yake ni katibu tarafa au mwenyekiti wa kijiji ndiyo maana ameona Bora arudi kwao kijijini Kwenye hadhi ya kazi zake
 
Ndiyo! Where is Mr. President?
Mwenye habari kamili za alipo rais wa Tanzania atujibu haya maswali...
Anafanya nini huko alipo?
Je, yupo karantini au self lockdown?
Je, anaumwa? Kama ndiyo anaumwa nini?
Kama haumwi je yupo likizo? Kama ndiyo je ni unpaid leave?
Kama hayupo likizo je ni lini atarudi ofisini?
Je serikali yake ina mikakati gani ya muda mfupi na ya muda mrefu kukabiliana na kusambaa kwa Covid-19?
Je serikali yake ina mikakati gani ya kuwakinga wahudumu wa afya dhidi ya maambukizi ya Covid-19?
Je serikali yake ina mikakati gani ya kuboresha miundombinu, vifaatiba na huduma muhimu kwenye hospitali za umma?
Je serikali yake ina mikakati ipi ya kutoa nafuu ya kiuchumi kwa wananchi ambao hali zao zinazidi kuwa tete??
Umeenda magogoni au dom ukamkosa? Au unataka afanye kazi live kwenye tv ndio ujue yupo afisini?
 
Okay let wait and see! Endelea kusema hakuna Rais TZ!
Mierda. Wewe form four for four years fighting for food huniogopeshi hata kitogo. Again Tanzania hatuna Rais. Falcao wetu ni Majaliwa.

Majaliwa ndo Rais wetu kwa sasa. Mwamba wa kusini kakubali kuibeba Tanzania hata kama sie yeye aliegombea uraisi 2015.
 
Mierda. Wewe form four for four years fighting for food huniogopeshi hata kitogo. Again Tanzania hatuna Rais. Falcao wetu ni Majaliwa. Majaliwa ndo Rais wetu kwa sasa. Mwamba wa kusini kakubali kuibeba Tanzania hata kama sie yeye aliegombea uraisi 2015.
Wise spoken and this is the fact. why niwe mnafiki wakati huu ndo ukweli. The guy is useless he is just good of memorising cooked data. werevaaaa
 
Chezea covid 19 wewe ? Aisee chezea kitu kingine bwa shee
Hiyo kitu hatari. Ina meno kama vipini vikifika mapafuni ni kudonoadonoa tu inflict pain and causing devastating damage on victims orgs living the dying an agonising death.

Pathetic virus
 
Back
Top Bottom