Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kunifundisha historian ya nchi hii?Mwl.Nyerere ndiye aliyeishi Magogoni kwa muda Mrefu kulikoni wote.Hill LA kuishi Msasani halipo official, na ndiyo maana alijenga Chamwino,na pia Katiba IPO wazi kuhusu makazi ya Rais.Mwalimu Nyerere Hakukaa Ikulu
Alikua anakaa nyumbani kwake masaki.
Ikulu alikua anaenda mara mojamoja
Likizo ya pasakaUnataka kunifundisha historian ya nchi hii?Mwl.Nyerere ndiye aliyeishi Magogoni kwa muda Mrefu kulikoni wote.Hill LA kuishi Msasani halipo official, na ndiyo maana alijenga Chamwino,na pia Katiba IPO wazi kuhusu makazi ya Rais.
Naomba ujibu hoja ya Mh.alikuwa akifanya nini Chato?Ilikuwa ni likizo,mapumziko au alikimbia moto wa kaugonjwa.
Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote.
Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona.
Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa, mwenye uthubutu na tupo salama ilhali abiria tunaona hatari iliyopo mbele yetu.
Nahodha wetu tunaambiwa yupo mapumzikoni. Je, tukisema kajitosa baharini na kutuachia chombo kielee kwenda kuzama tunakosea?
Corona bila lockdown itatumaliza, ilikuwa Arusha, Dar na Zanzibar hatukuona haja ya lockdown eti tutakufa njaa. Sasa tuna wagonjwa mikoani na hakuna kinachoonekana kufanyika, hatujaamua bado kulock maeneo yenye wagonjwa.
Tunafahamu kuwa hakuna dawa, chanjo, vifaa tiba, maabara za uchunguzi na vifaa vya kujikinga hasa kwa watoa huduma za afya.
Tuamini kuwa tupo salama? Tuamini kuwa Nahodha hajajitosa na kuacha chombo katikati ya mawimbi makali?
Hahhaha, nasikia Waziri Mkuu wa China atafanya ziara Chato januari 7 na 8
Ninachokiona kwa sasa umaarufu wa Magufuli umeshuka vibaya sana na kwenye Uchaguzi mkuu kama wasipouchafua basi anguko kuu laja swali ni je watakubali kuachia hatamu?
Au itatubidi turumie njia nyingine ili tuwang'oe ccm waliong'ang'ania madaraka
Hii pia ilishindikanaAu itatubidi turumie njia nyingine ili tuwang'oe ccm waliong'ang'ania
Chato ishakuwa ni kanchi kengine au ufalme mwingine ndani ya Tanzania.....!!!Hahhaha, nasikia Waziri Mkuu wa China atafanya ziara Chato januari 7 na 8
Unaweza kufuta huu uchafu chiefMimi simfananishi na nahodha wa chombo mimi namfananisha na dereva wa bajaji ambae ameona simba mbele yake ameachia usukani na kukimbilia siti ya nyuma yaani amekimbia majukumu yake.
Bado unamsimamo huu chief?Labda atakuwa nahodha hewa,aliwahi kusema nchi hii kila kitu ni hewa,so usishangae nae akawa hewa
Tafsri tu, hata mwendawazimu anatafsiri zake! Umejitahidi na hongera Kwa mawazo hayo! Ila wenye Ubongo ambao bado unafanya kazi 100% wao wanaiona chatto ni kama sehemu nyingine yoyote hapa nchini!Chato ishakuwa ni kanchi kengine au ufalme mwingine ndani ya Tanzania.....!!!
Madikteta ni tatizo sana kwa tawala za Kiafrika.
Trump pia aliwahi kumpokelea Xi Jinping kwenye jumba lake la Mar-a-Lago FloridaChato ishakuwa ni kanchi kengine au ufalme mwingine ndani ya Tanzania.....!!!
Madikteta ni tatizo sana kwa tawala za Kiafrika.
Jamani watanzania wenzangu huyu mdudu yupo. Anaejua hizo dalili hapati shida.Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote.
Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona.
Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa, mwenye uthubutu na tupo salama ilhali abiria tunaona hatari iliyopo mbele yetu.
Nahodha wetu tunaambiwa yupo mapumzikoni. Je, tukisema kajitosa baharini na kutuachia chombo kielee kwenda kuzama tunakosea?
Corona bila lockdown itatumaliza, ilikuwa Arusha, Dar na Zanzibar hatukuona haja ya lockdown eti tutakufa njaa. Sasa tuna wagonjwa mikoani na hakuna kinachoonekana kufanyika, hatujaamua bado kulock maeneo yenye wagonjwa.
Tunafahamu kuwa hakuna dawa, chanjo, vifaa tiba, maabara za uchunguzi na vifaa vya kujikinga hasa kwa watoa huduma za afya.
Tuamini kuwa tupo salama? Tuamini kuwa Nahodha hajajitosa na kuacha chombo katikati ya mawimbi makali?
Pole kwenu,Nina marafiki waliondokea kwa kuzimika umeme kabla jenereta haijawekwa mafuta tukawa hatunao.Hali ni mbaya ila haturuhusiwi kunena ukweli.Tumezika wengi.Jamani watanzania wenzangu huyu mdudu yupo. Anaejua hizo dalili hapati shida.
Ndugu yangu ameondoka kimasihara. Na nyumba nzima iliugua ila sema waliwahi hosptal.
Huyu ndugu yetu alipuuza wakati tunahisi ndiye alieipeleka nyumbani.
Yaliyompata hadi umauti.
Alirudi saa tano usiku akamwambia mke wake anajisika kifua kinawaka Moto halafu anajisikia Kama malaria. Ilipofika saa Tisa usiku hali ikazidi kuwa mbaya.
Wakamkimbiza dispensary ya karibu, alikaa pale mpaka asubuhi, Madaktari wakamwekea mashine ya kupumua wakati wakati vipimo vinaendelea. Ghafla saa 10 tunaambiwa anatakiwa anahamishiwe Amana hospital. Tukauliza vipimo vonasema anaumwa nini? Wanasema hii ni nemonia. Ukiuliza nemonia ipi ya zamani au ya Sasa? Hatukupata jibu.
Na yeye mwenyewe anaongea. Nasikia alikuwa akiitoa ile mpira aiuliza fasta, ijue huyu mdudu alivyo na Moto.
Pale Amana alikaa siku tatu akatutoka. Mungu ampumzishe kwa amani.
Pana mchungaji anawadanganya waumini eti huu ni ugonjwa wa wenye hela.Eti masikini awafi corona,nikasema Mungu amsamehee tu alijui anenalo.Jamani watanzania wenzangu huyu mdudu yupo. Anaejua hizo dalili hapati shida.

Sawa mkuu.