Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Sasa wewe unataka afanye nini raisi

Mbona akili ndogo kijana unatumia

Kwani kukaa chato ndio kukikmbia corona? Are u sure chato corona haipo au haiwezi kufika

Unamaanisha dar ndio kuna corona? Mbona watu wanaishi sasa, ifike hatua ujitambue kenge wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena hii Covid19 ni hatari zaidi kwa wote wenye “underlying health issues”. Mzee anajua anachofanya. Kwake afya kwanza. Kwa wengine? Uchumi kwanza😎
 
Sasa wewe unataka afanye nini raisi

Mbona akili ndogo kijana unatumia

Kwani kukaa chato ndio kukikmbia corona? Are u sure chato corona haipo au haiwezi kufika...
kwa hiyo wewe unadhani anafanya nini chato? Hatari ya Dar na Dom sio sawa na Chato
 
Kwa hiyo broo wewe huami kuwa raisi amejificha chato kwa sababu anaogopa corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana amejificha.
Na huo ni mfano muhimu wa kujijali

Pointi yangu hapa ni kwamba viongozi wa kisiasa wasitupoteze au kutuondolea malengo yetu katika mapambano na huu ugonjwa.
 
2401333_Screenshot_2020-05-16-14-20-52-1.jpg
 
Cheki mkuu, usijekuta ukashindwa kumuona akitoka huko maana utakuwa umechomoka. Hivyo take care.
 
Ikulu ndogo ipo chato nyie chapeni kazi au sio
Kama ndivyo kulikuwa na sababu gani kupoteza fedha kukarabati Magogoni au Chamwino?Ingelikuwa hicho ukisemacho ni kweli tulitakiwa Nyerere aongoze akiwa Butiama,Mwinyi tokea Zanzibar,Mkapa huko Masai/Lushoto na Kikwete huko Msoga.Why shifting goal posts during play?Mnajibu tu ilimradi bila kutafakari.
Hata hivyo Sisi wadadisi tumeshuhudia akirejea chomboni huku akinyatia na kuwala vichwa baadhi ya Manahodha wasaidizi ili kuficha aibu.
Nilikuwa sifahamu kuwa Maabara ya afya ya kjamii kumbe ilikuwa ile ya NIMRI iliyojengwa 1968.Mlitegemea isitoe majibu tata ya COVID 19?Technology ya 1968 inapima DNA PCR?Kumbe Mabibo kulikuwa hakuna Maabara ya Taifa?Shindwa kabisa kwa kutuchezea akili huku mkiamini kuwa hatuana uelewa,changa LA macho hili!!!
 
Mwalimu Nyerere Hakukaa Ikulu
Alikua anakaa nyumbani kwake masaki.
Ikulu alikua anaenda mara mojamoja
 
Labda atakuwa nahodha hewa,aliwahi kusema nchi hii kila kitu ni hewa,so usishangae nae akawa hewa
Hakuna kulock chochote hapa kama nchi wala mji ila wanaotaka kujilock down wenyewe ruksa kufunga mageti yao
 
Back
Top Bottom