Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Kwa nia njema kabisa, kama Mh. Rais angelikuwa "mtaani" katika janga hili nadhani watu wangelisema kidogo. Yule wa Brazil aliingia mitaani kuandamana nao akisema corona usiwatishe ni ugonjwa wa kawaida (sisemi aingie mitaani, NO)!.

Lakini kitendo cha kukimbia ofisi na kwenda kwake, ina maana huu ugonjwa ni hatari sana! Ugonjwa mdogo huwezi kuchukua drastic measures kama alizozichukua, very strict measures to get safe!
 
Kwa nia njema kabisa, kama Mh. Rais angeliwa "mtaani" katika janga hili nadhani watu wangelisema kidogo. Yule wa Brazil aliingia mitaani kuandamana nao akisema corona usiwatishe ni ugonjwa wa kawaida (sisemi aingie mitaani, NO)!. Lakini kitendo cha kukimbia ofisi na kwenda kwake, ina maana huu ugonjwa ni hatari sana! Ugonjwa mdogo huwezi kuchukua drastic measures kama alizozichukua, very strict measures to gwet safe!
Angefanya hayo ungepata faida gani ambayo unahisi ingekutoa point A kwenda point B kimaisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kama ni mawazo yake kama ninamvyomfahamu.
Ikumbukwe hawezi kujiamulia mambo yake mwenyewe,yeye siyo Magufuli kama mnavomchukulia yeye ni Taasisi,ndomana wanamzunguka wana jukumu la kumlinda na kuhakikisha anakua salama muda wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia Corona imeisha, hongera IGP Sirro kwa kazi nzuri ya kupuliza maji ya upupu hewani na kuwaua Coronavirus COVID-19
 
Nasikia Corona imeisha, hongera IGP Sirro kwa kazi nzuri ya kupuliza maji ya upupu hewani na kuwaua Coronavirus COVID-19
si unaona hata DJ na wapambe wake wamerudi bungeni[emoji1][emoji1]
 
Siamini kama ni mawazo yake kama ninamvyomfahamu.
Ikumbukwe hawezi kujiamulia mambo yake mwenyewe,yeye siyo Magufuli kama mnavomchukulia yeye ni Taasisi,ndomana wanamzunguka wana jukumu la kumlinda na kuhakikisha anakua salama muda wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana nafasi ya URAIS si ya kuchagua mradi kuchagua. Wanakushauri nawe unaangalia kwa akili yako! kuwa NO, let me go, niacheni (kama ambavyo huwa anaamua kusimama ghafla kusalimia watu.... !UNLESS YUKO KAMA MIMI AMBAYE EXPOSURE YANGU KWENYE HUU UGONJWA MIGHT MAKE AN UNPLEASANT OUTCOME!
 
Wee raisi anakuhusu nn?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom