Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Tatizo ninyi makamanda mnaazima akili mnasahau kuomba mrudishiwe akili zenu nzima na mkiambiwa mnakuwa wabishi.

Soma taratibu nilichoandika ,nimesema Rais ana haki ya kufanya kazi mahali popote ndani ya JMT yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na si popote duniani.

Mnaposhindwa kuelewa huwa mnaleta upotoshaji kàtika jamii ya Watanzania.
Nini maana ya kuwa na ikulu mkuu??basi mh kikwete angekuwa anakaa msoga tu!kwa nini tuingie gharama kujenga ikulu mpya pale kilimani dodoma sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta iyo kanuni au sheria inaayosema popote kambi kwa Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Kuna kitu naomba Sana ili ukaidi uishe na kujipendekeza kwa Rais corona ianze kufyeka hata watu 1000 tu kwa siku, ndo akili itatuingia, na watakao baki akili itawakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Really?
Screenshot_20200503-113718_Twitter.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachojua makazi na ofisi ya Rais ni Ikulu na Ikulu haipo dar au dodoma pekee. Sioni Cha ajabu Rais kuwepo huko kwa kuwa napo Ikulu ipo.

Hata akiwepo dar, bado ataendelea kuwa Ikulu kama ilivyo huko Chato. Je, na hili inahitaji viongozi wenu wawaambie?
Wewe mtoto usionyeshe ujinga mbele ya hadhala!

Kwahiyo akija dar ikulu inaweza kuwa hotel ya legho mapambano sinza? Au Kwa mkwewako mchikichini?
 
Wananchi ndio boss wa Rais, Rais sio boss wa wananchi Never!
Tumemchagua atutumikie, yupo pale alipo kama mtumishi wetu na sio boss wetu
Kama inavyoainisha katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, 1977 ibara ya 2

" Mamlaka yote inatoka kwa wananchi, wananchi ndio wenye mamlaka yote "
Sio rais wala mbunge wala mwingine yeyote.

Wananchi kama bosi wanayo mamlaka ya kumwita, kumhoji, kumwajibisha kwa namna na wakati wanaoona unafaa.
Wewe kula ugali ulale

Unanwita Rais njoo Dodoma utafikiri unaita bajaji !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Kuna kitu naomba Sana ili ukaidi uishe na kujipendekeza kwa Rais corona ianze kufyeka hata watu 1000 tu kwa siku, ndo akili itatuingia, na watakao baki akili itawakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiombee hii. Watakufa wasiokuwa na hatia. huyu hata wakifa watz wote akabaki yeye tu kwake ni sawa maana ndyo last resort yake. Mi naombea imfulumushe uko uko chato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndyo sababu inayomfanya akae hapo chato. Watumishi wa hapo wanaishi hapo hapo ila makao makuu kunawanaoingia na kutoka kila siku. Ikulu inaoffice nyingi sio ya rais unavyofikiria wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naijua ikulu

Hakuna interaction ya rais na staff

Na bado ana uwezo wa kuminimize au kupunguza staff wakafanyia kazi mbali na yey

Unayemsema ni Rais wa Nchi!!! He has all ways na capacity ya kujilinda mkuu. Hizi maneno ya kuwa anajificha yakatae

Niko dsm na nina mask na basics za kujikinga, kweli rais hawezi haya??? Na akavaa mpaka Hazardous Coats?
 
Nini maana ya kuwa na ikulu mkuu??basi mh kikwete angekuwa anakaa msoga tu!kwa nini tuingie gharama kujenga ikulu mpya pale kilimani dodoma sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikulu ni mahali ambapo Rais akifika anaweza kulala na kufanya kazi zake hata Kama ni kijijini ndani ndani kabisa ila kwa sababu huko kijijini ni nadra kwa Rais kukaa kwa zaidi ya siku 2 ndio maana hazijengwi huko ili kupunguza gharama
 
Mkuu usiombee hii. Watakufa wasiokuwa na hatia. huyu hata wakifa watz wote akabaki yeye tu kwake ni sawa maana ndyo last resort yake. Mi naombea imfulumushe uko uko chato.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ndo atastuka kutoka usingizini, yaani analeta mambo ya ajabu utafikiri kipimo anacho tumia kupima sicho Kenya au Rwanda au Uganda wanacho tumia, nawambieni ipo siku atasema Sina Imani na wasimamizi wa mochwari kwakuwa wanaongeza idadi ya maiti, wamenunuliwa na mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikulu ni mahali ambapo Rais akifika anaweza kulala na kufanya kazi zake hata Kama ni kijijini ndani ndani kabisa ila kwa sababu huko kijijini ni nadra kwa Rais kukaa kwa zaidi ya siku 2 ndio maana hazijengwi huko ili kupunguza gharama
Why walitengeneza ikulu ndogo sasa kama kweli raisi anaweza fikia popote hata kwangu hapa kimandolu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom