Mimi binafsi huwezi niambia tupuuze corona wakati Rais ameichukulia serious kiasi kwamba kajifungia kwake ila anatanguliza raia na viongozi wa chini yake tukapige kazi.
Baada ya kumuapisha MWIGULU nimeona hapo hapo wamepanda kwenye gari nakuondoka hapo hapo. Yani hata chai ya nyumbani kwa Rais hajaiona.
Hii nikuonesha jinsi Rais anavyochukulia serious kujilinda na corona yeye na familia yake. Alafu huku akichukizwa na Viongozi wa makanisa na Misikiti walioamua kufunga nyumba zao za ibada. Kwani Mungu yupo kanisani tu? Yeye ameenda kanisani mara ya mwisho lini?
Sent using
Jamii Forums mobile app