Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

Mimi binafsi huwezi niambia tupuuze corona wakati Rais ameichukulia serious kiasi kwamba kajifungia kwake ila anatanguliza raia na viongozi wa chini yake tukapige kaz
Hakuna aliekulazimisha kutoka au kufanya kazi,mbona unatumia nguvu nyingi sana?
 
Kama Ikulu ya Chato ipo Geita na Chato ipo ndani ya Geita basi ni sahihi ikulu kuwepo Chato.

Kwa ufahamu na uelewa wangu, anapokuwepo Rais na kufanya kazi zake ,hapo ndio Ikulu Kwa sababu ana haki ya kufanya kazi popote ndani ya JMT
Uelewa wako ni wa kijinga sana. Mfano Rais asafiri nje ya nchi afikie kwenye hoteli au ubalozi. Utauita ikulu.

Pili ikulu ya geita sio chato kwa magufuli. Kuna tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uelewa wako ni wa kijinga sana. Mfano Rais asafiri nje ya nchi afikie kwenye hoteli au ubalozi. Utauita ikulu.

Pili ikulu ya geita sio chato kwa magufuli. Kuna tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko nje ya nchi kuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania( JMT)? Au Hilo neno JMT hukuliona au hukuelewa limesimama badala ya Nini?
 
Mimi binafsi huwezi niambia tupuuze corona wakati Rais ameichukulia serious kiasi kwamba kajifungia kwake ila anatanguliza raia na viongozi wa chini yake tukapige kazi.

Baada ya kumuapisha MWIGULU nimeona hapo hapo wamepanda kwenye gari nakuondoka hapo hapo. Yani hata chai ya nyumbani kwa Rais hajaiona.

Hii nikuonesha jinsi Rais anavyochukulia serious kujilinda na corona yeye na familia yake. Alafu huku akichukizwa na Viongozi wa makanisa na Misikiti walioamua kufunga nyumba zao za ibada. Kwani Mungu yupo kanisani tu? Yeye ameenda kanisani mara ya mwisho lini?


Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa,hata leo kanisani hajakwenda. Infwakti Rais anachukua measures zote za kujikinga na Corona.
 
Wewe kula ugali ulale

Unanwita Rais njoo Dodoma utafikiri unaita bajaji !
Rais is a product of sex kama mimi na wewe tulivyo. Cha ajabu kwake ni kipi? Inaelekea wewe Rais ana utu kuliko baba yako. Ukipewa uchague nani wa kufa utasema baba yako afe Rais abaki! Nakuona sana unavyopapatikia Rais
 
Ninachojua makazi na ofisi ya Rais ni Ikulu na Ikulu haipo dar au dodoma pekee. Sioni Cha ajabu Rais kuwepo huko kwa kuwa napo Ikulu ipo.

Hata akiwepo dar, bado ataendelea kuwa Ikulu kama ilivyo huko Chato. Je, na hili inahitaji viongozi wenu wawaambie?
Mwambie aliyekutuma tuna akili zenye afya njema! Hatusubiri kwa kitakachosemwa na kiongozi wa aina yoyote wa chama chochote! Mwambie sisi siyo wale kiongozi wa nchi ndiye mwenye akili zaidi na wengine ni majnuun. Mwambie tunao uwezo wa kuunganisha dot.....!! Na mwambie vilevile wajinga duniani hawatoisha kwa hiyo asihofu atawavuna tu.
 
Wewe ni ngombe zilizoenda shule. Umeanza sasa kula matapishi yako. Naona umekubaliana na mimi kuwa sio anapokuwa Raisi ni ikulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ninyi makamanda mnaazima akili mnasahau kuomba mrudishiwe akili zenu nzima na mkiambiwa mnakuwa wabishi.

Soma taratibu nilichoandika ,nimesema Rais ana haki ya kufanya kazi mahali popote ndani ya JMT yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na si popote duniani.

Mnaposhindwa kuelewa huwa mnaleta upotoshaji kàtika jamii ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom