Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Dini zitawaua ,, bila WAARABU na WAZUNGU Leo hii msingekuwa mnabisha hovyo humu , inasikitisha sana
SUsiisingizie vita hii na dini, dini ni moja tu duniani.

Sasa hivi vita ipo zaidi ya dini. Kwenu hakuna mizimu?
 
Sawa Ila Cha Moto Wanakiona Sana
Unachokiona na kukisikia ni cha mtoto, moto unawaka kusikoonekana.

Unaelewa kuhusu dunia ya pili na ya tatu? Hii vita sasa ipo mpaka dunia ya tano.
 
Tatizo lako Dada yangu unateswa sana na Udini, Gaza ilikuwa ikikaliwa na wayahudi, baada ya siasa za kistaarabu za Yasser Arafat na mkataba wa Oslo, Serikali ya Israel ikahamisha kwa nguvu raia wote wa kiyahudi mwaka 2005,ili kupisha Wapalestina waishi Gaza.

Laiti Israel wangejua kuwa hicho ndo kifo Chao wasingejaribu kabisa,HAMAS inaamini ktk siasa za kumwaga Damu,sasa hivi Israel inajihami mnalia eti wanaonewa,HAMAS hawana kambi za kijeshi,wala sare za jeshi,wanapigana vita katikati ya wanawake na watoto ili kutafuta huruma ya Dunia.

Israel wangekuwa Dhaifu kwa kuonea huruma watoto na wanawake,HAMAS ingeifuta Israel.

Halafu nyie Waislamu hamtambui uwepo wa Taifa la Israel,sasa mnataka Israel wote wafe,sasa ndugu zenu Palestina wakiendelea kuwa viburi kwa kudanganywa na Iran watakufa wote.
 
Udini ndiyo nini, unamaanisha Uislam?

Kama unamaanisha Uislam basi mimi najivunia kuwa Muislam. Wewe kwanini haujivunii ukafiri wako?
 
This is rubbish, mtu akiamini sana mambo ya dini, anakuwa mpuuzi hadi kuandika ugoro kama huu.
 
This is rubbish, mtu akiamini sana mambo ya dini, anakuwa mpuuzi hadi kuandika ugoro kama huu.
Ssa kama wewe huna dini, kinakuuma nini wenzako kuwa na dini?

Biunafsi najivunia sana Uislam wangu.

Vipi wewe mbona hujivunii kutokuwa na dini?

Kwenu hakuna mizimu isiyo na dini?
 
Hii vita imewalfanya mpaka waliopo dunia yua nne na ya tano kufunguwa milango kuja kujionea kuna nini. Ni hatari sana.

Wa dunia ya nne na ya tano watafanya kila nia kuizuwia hii vita isiwachonganishe wao. Wanafanya kila njia kuiwacha iendelee dunia ya kwanza mpaka ya tatu.

Milango ya dunia ya kwanza mpaka ya tatu ipo wazi kabisa kwa sasa.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Hivi wewe kahaba wa Kigunya umepata wapi nguvu za kuleta proaganda hapa ?
 
Tunaomba Mods muongezee hii emoji 🚮 kwenye eneo la Thanks
 
Ni hadi pale wote tukubali mafundisho ya Shia na kusurrender kwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S amani ya kudumu itakuwepo.

Allah azidi kumfanyia wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S.
 
Mimi sikubaliani na wewe hapo toka lini jeshi la Israel likawa halali? Hao wamepora ardhi za Palestine na Wayahudi wenye asili ya kiyahudi sio hao ma Zionist walikuja pandikizwa na Uingereza. Kuongea lugha ya kiyahudi au kiarabu si lazima uwe Myahudi au Mwarabu.

Kuhusu jeshi la Israel wapo warabu ambao wanajita Madoruz na wako wa Morocco wamenda huko wenye asili za kiyahudi na wale Waislam koko na kusudia Waislam kwa majina tu.

Hamasi wapiganaji wake karibu wote Waislam 80 na 10% wakristo na 10% Madoruz lakini hawa wote warabu wenye asili ya hapo, sio Jeshi la Israel hakuna hata mwenye asili ya pale, wenye asili ya pale ni wale Wayahudi wako against Zionist. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…