Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Unamaabisha nini? Au mada imekuwa nzito kwako kuielewa?

Mimi naamini wewe huelewi tofauti ya nchi mpya inayoitwa israel na kizazi cha Israel (Yakoub). Wala huelewi wayahudi ni nani na mazayuni ni nani.
 
Mbona bongo, hakuna vita tumekaa kinyonge sana

hiyo dunia ya 4 na 5 ndio ipi?

au ndiyo anayoishi mungu na shetani huko?
Dunia ya nne ni dunia ya viumbe vinayoitwa Ramadi. Ambavyo ni wachache sana waliokwisha tembelea dunia yetu na ni kwa shughuli maalum tu. Sana wakija ni mmoja au wawili tu, mara nyingi wanishia kwenye milango ya kuingilia duniani. Kwani hata kuwaona bila kujilinda kunaweza kuwaletea binadam madhara makubwa sana. Huishia kwenye milango na hutumia mawakala wao tu wa dunia ya tatu kuingia duniani.


Nakushauri kwanza uyajuwe ya dunia ya kwanza, ya pili na ya tatu kabla hujaanza hizo zingine.
 
Unavimajina vyako vya karaha sijui makafiri ,saivi mazayuni hivi nyie nani mnajiona hivyoo na wala hamueleweki mnaelekea kushoto au kulia watoto waliohasiwa na Mungu mkaondolewa nyumbani kwa abrahamu . Eti ibrahimu jitoeni ufahamu tu . Eti mnatambulika
 
Makafiri mbona nembo hiyo ipo hata kwenye biblia?

Mazayuni wanajulikana, inakukera nini wewe? kwani mmoja wao? Wewe ni katika makafiri au mazayuni?
 
Makafiri mbona nembo hiyo ipo hata kwenye biblia?

Mazayuni wanajulikana, inakukera nini wewe? kwani mmoja wao? Wewe ni katika makafiri au mazayuni?
Nyie mnawaita wakristo makafiri halafu biblia gani leta huo mstari ulioandikwa makafiri ni wakristo mnaboa kama nyie niwatakatifu nyie sio watakatifu bhana tena nyie mnapenda kufir-'xxccccvna ndio maana mnaoa sana ukiangalia ndio shida kubwa ndio hiyo naushahidi bhana wanaume waislam niliwaacha kisa wanadai mwanamke akiwa kwenye hedhi wameshauriwa kwenda kwenye tundu lapili kushusha haja zao wanaita suna so kama utalipinga basi mie silipingi
 
Hapa kati kuna kimgogoro kiliingia kati ya urusi na wale wa ukraine ili kuisahaulisha dunia mgogoro mkubwa uliopo wa udhalimu na mauaji ya watu wa gaza , mgogoro , lakini hilo lilishindikana na ndo imejulikana zaidi ya awali
 
Unajua hilo neno makafiri ni wapingaji, nafikiri lingeitwa kwa jina la wapingaji msingelalamika kiasi hicho, kwani wale wa dhehebu la wa pentekoste unajua kwann walikuwa na hilo jina
 
"My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku."


Kwa hiyo kutokana na msemo wako hapo juu, hakutakuwa na mshindi wa hii vita maana wote ni magaidi tu.
 
Mbona biblia yenyewe imewataja makafiri?

kama haumfati Mwenyezi Mungu ni kafiri tu.

Ukitaka usiwe katika makafiri jisalimishe na mnyenyekee Mqwenyezi Mungu mmoja tu, ambae hajazaa wala kuzaliwa.

Hayo mrngine ni uongo tu, umedanganywa. Kwanza Muislam wa kweli hawezi kufanya uasherati na uzinzi. Ni kafiri tu huyo.
 
Si kila asiye Muislam ni kafir daima. Mwenyezi Mungu "huutowa umauti kwenye uhai na huutowa uhai kwenye umauti".

Kafiri ni kama wewe usiyejijuwa uko wapi.
Wewe ni miongoni mwa wale mabikira 72.
 
nitafikaje huko mm nataka ni ufahamu ulimwengu wa roho
 
Ni kweli, ni kama ilivyo kwa Waislam wao waislamu ni Mapagani
 
Naam, ni kweli kabisa. hawakosea. Vita yoyote inayihusu ardhi ya Muislam ni jihad.
Ardhi ya muislam? Yupi sasa Mzayuni au Mpalestina?
Huko kote si kuna waislam, na wote wanaitaka hiyo ardhi ni Jihad kwa upande wa nani?

Na kwanini upande huo pekee, ina maana waislam wa upande mwingine wamekengeuka na ardhi sio yao??
 
Quran ni story ambazo Waraqa ibn Nauf alikuwa akimkaririsha bwana fulani
 
Sasa hiyo link ndiyo imejibu hoja ya huyo aliyekwambia hakuna HAMAS Mkristo? Kwa hata hilo andiko kwenye hiyo link linabembeleza undugu kwa Wakristo ili kuunga mkono kwani umeambiwa upande wa Israel hakuna Wakristo?
 
Naam, ni kweli kabisa. hawakosea. Vita yoyote inayihusu ardhi ya Muislam ni jihad.
Hiyo ardhi uislam kaitoa wapi? Muislam kawakuta Wayahudi pale halafu leo aanze kufai ardhi ni yake? Hivyo si ni vituko?
Pale Mecca , Madina na Saudia yote ni ardhi ya Waislam? Si waliteka na kuua waliowajuta na kulazimisha wengine, je zile dini za awali zikiibuka leo kudai ardhi yao mtaanza tena kudai ni ardhi ya Waislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…