Vita ya Kagera iligharimu Tanzania Trilion 1.15

usitukumbushe wakati wa kupanga foleni asubuhi then jioni ndiyo mnaaza kupewa vitu adimu - sukari, sabuni nk

Hali ilikuwa ni mbaya sana miaka ya 80 baada ya vita.
Sio mbaya,ndio maana hata watu wenye obesity walikua wachache enzi hizo πŸ˜„πŸ˜„.
 
Kweli kabisa mtoa hoja na hasara hii ndio ilisababisha wazee wetu waliokua wanafanya kazi EAC kuzeeka na kufa bila ya kulipwa mafao yao,fedha yao ikachukuliwa kwenda kulipia madeni ya vita hii ambayo haikua na umuhimu kwetu,wazee wa bandari wamelalamika mpaka ardhi imewameza bila kupata haki yao,serikali ya chama dola damu ya wazee wale ipo siku itakuja kuwadhuru.
 
Kabisa mkuu wangu....ila naomba kuuliza maana ya hyo ID yako ni mke mkubwa kama ninavyojua mm au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…