Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Libya iliingilia ile vita kwa sababu kuu moja,urafiki wa idd Amin na gaddafi,hata sisi mbona tulisaidiwa na msumbijiHi vita imepiganwa mwaka 1978/79 sio muda mrefu wala, uliza tu wenyeji wa mkoa wa Kagera watakwambia, uliza wenye umri wa miaka 55 and above, hi sio sawa na mambo ya vita vya maji maji, au vya Mkwawa na Wajerumani ambayo hatuna uhakika na kile tunacho kisoma kama ni cha kweli au laa. Hao watu watakwambia shida walioipata kwa kurushiwa mabomu na risasi mkoani kwako Kagera. Tusibishane tu kwasababu tunampenda Idd Amini na kumchukia Nyerere au tusitete kwasababu tunamchukia Idd Amini na kumpenda Nyerere, tuweke facts mezani. Unadhani ni kwanini hadi rais wa Libya hadi akaingilia vita ile isio muhusu? Ni mjinga pekee yake anaweza kuamini kwamba eti Nyerere angeweza kujipeleka vitani kijinga kwasababu zozote zile, Idd Amini alikua vizuri na tishio kivita kuliko Tanzania
mimi nimesoma ushahidi wa simulizi wa wanajeshi wa Uganda pamoja na kunsikiliza Amin mwenyewe