Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
tungeshindwa ile vita, wahaya wangekuwa waganda leo hii. that price was worthy it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaaminika aliyeshinda vita basi atakuwa hajapoteza nguvu kazi yake nyingi (Military soldiers) na mali zake za kawaida kwa kuangalia uharibifu.Kama nchi hatujawahi kukaa sawa kiuchumi baada ya ile vita
Nani kakuambia Kagera ilikuwa inataka kuchukuliwa....mkuu kuna ishu nyingi sana zimejificha nyuma ya ile vita....wala sio kuchukuliwa kwa kagera kama tunavyoaminishwaga.
Nyerere hii pesa angeweza kabisa kuielekeza kwenye maendeleo, hili deni sina hakika kama tulimaliza kulipa maana mpaka mwaka 2013 hivi tulikuwa bado tunadaiwa na Museveni naye tulikuwa bado tunamdai gharama za vita ile
Nyerere aliliingiza taifa vitani kisa rafiki yake Obotte ambaye alikuwa incompetent, mpaka sasa naandika hii comment Obote anashikiria record ya rais aliyepinduliwa mara mbili hapa DunianiYaani linyerere lilikuwa raisi la hovyo sana kuwahi kutokea
Upo sawa mimi ni mke mkubwa na hopes hauna viashiria vya GBVKabisa mkuu wangu....ila naomba kuuliza maana ya hyo ID yako ni mke mkubwa kama ninavyojua mm au???
Nyerere aliwadanganya,fuatilia Historia ya hiyo vita humu pia imo, Idd Amin hakuwa na wazo la kuchukua kagera bali alifanya kitu ambacho hata sisi tunapaswa kukifanya msumbiji sasaKwa hiyo angeacha tu Kagera ichukuliwe kwako wewe ndio asingekuwa wa ovyo?
Museveni amejenga shule Chato inaeezekana amekata humo humo.Nyerere hii pesa angeweza kabisa kuielekeza kwenye maendeleo, hili deni sina hakika kama tulimaliza kulipa maana mpaka mwaka 2013 hivi tulikuwa bado tunadaiwa na Museveni naye tulikuwa bado tunamdai gharama za vita ile
Mkuu, hii ni scenario tofauti na yetu japo umesimulia ukweli, Jamaa yupo sahihi hatuja recover mpaka leo kwa vita ile kwa sababu deni hili mara ya mwisho nilifuatilia hatukulipa lote liishe hivo tulikuwa tunadaiwa na pia Uganda tulikuwa tunaidai pesa ndefu sanaInaaminika aliyeshinda vita basi atakuwa hajapoteza nguvu kazi yake nyingi (Military soldiers) na mali zake za kawaida kwa kuangalia uharibifu.
Sasa kama tulishinda hii vita na hatujawahi kukaa sawa tokea vita iyo; vipi kuhusu aliyepigwa sasa ambaye ni Uganda?!
Anyways leo ngoja nikurudishe kidogo nyuma nikujaze maarifa hapo ulipo na upokee baraka za kutosha. Bila shaka umeisikia vita ya kwanza ya dunia ya mwaka 1914-18 na ile ya pile iliyotokea mwaka 1939-45
Baada ya vita zile pale mbili zote kutokea, hakuna ata vita mojawapo iliyofanyika katika ardhi ya marekani. Marekani ukiachilia mbali ile inaitwa PROTECTIONISM POLICY pia wanajua nini madhara ya vita na hii ibadhibitishwa na viongozi mvalimbali wa juu wa nchi iyo wakiyasema adharani maneno kama hayo ya madhara ya vita.
Baada sasa ya vita mbili zote kutokea na hazikufanyika katika ardhi ya Marekani; marekani #Raised as supercapitalist power. Unajua kwanini? Ni kwasababu in both wars aliact kama chief supplier wa silaha, lakni pia alikuwa akifanya production wakati wengine wapo katika vita. Kwahyo huyu tusema katika waliopigwa yeye ni mshindi amesimama imara na alisimama imara.
Tunakuja kwa mshindi mwingine ambaye ni Italy ambaye kapigana vita ya kwanza ya Dunia na akiunda zile Allaince muhimh kati ya zile Tripple Allience na Entente. Sasa pia alishinda vita ya kwanza na aliyepoteza ni Ujerumani ila alisimana imara mpaka kufikia sasa na alitumia gharama zaidi yetu.
Vita ya pili Ujerumani alishinda vita ile na amesimama na ataendelea kusimama imara. Swali langu ni kipi kiliyumbisha Tanzania licha ya kushinda vita ile?! Kwako Sesten Zakazaka majibu tafadhali
yule mzee hashindwi kufanya haya😅.alimshangaa kanye west kwanini hana Ng'ombeMeseveni amejenga shule Chato inaeezekana amekata humo humo.
GBV tena....mbona umefika huko mure nkaniniUpo sawa mimi ni mke mkubwa na hopes hauna viashiria vya GBV
hakuna ushahidi wowote wa Idd amin kuichokoza Tanzania,kama upo uweke hapa, Nyerere mwenyewe ndiye alianza maneno ya choko choko toka siku Amin anaapishwa ndipo Amin akamtumia Telegram mchonga na kumwambia "laiti kama ungekuwa mwanamke ningalikuoa..."Sometimes huaga nahisi kadiri miaka inavyo songa mbele ndio kizazi cha Tanzania uwezo wetu wa kufikiri nao unashuka sana, ukifatilia comments za watu wengi humu hakika inashangaza; Sina hakika na hiyo figure iliotajwa kama ni ya kweli au la but kwa muktadha wa hu uzi, let us assume kwamba hiyo figure ipo sahihi; swali ni je, ilikua ni sahihi kuacha kwenda vitani lakini sehemu ya ardhi ya nchi ichukuliwe tu na Idd Amin just because of serving some money?? Is very stupid to think that way. Unless vijana wengi hamjui hata historia ya Idd Amini, Nyerere kamvumilia sana Idd Amini, Idd Amini alianza uchokozi wa kurusha na kuua since day one anaingia madarakani Ugandq, yaani mlitaka Nyerere akae kimya tu? Sasa nini maana ya kua amiri jeshi mkuu wa nchi? Ajabu sana hi
Peleka story zako za kusadikika vijiweni hukoKama inflation imeshakua adjusted hapo then hela ndogo hio kulinganisha na Ile 1.5tril. ya jiwe& associates.
Alitumia rasilimali nyingi za nchi kupambania uhuru wa nchi nyingine, mwisho wa siku sisi tumebaki maskini na omba omba tuliowapambania wametupiga gap kubwa kiuchumi.Yaani linyerere lilikuwa raisi la hovyo sana kuwahi kutokea
Mastermind wa vita ile alikua ni Israel akisaidiwa na Muingereza na Mmarekani, sisi tulitumika bila kujijua.Nani kakuambia Kagera ilikuwa inataka kuchukuliwa....mkuu kuna ishu nyingi sana zimejificha nyuma ya ile vita....wala sio kuchukuliwa kwa kagera kama tunavyoaminishwaga.
inawezekana ikawa ni kweli unachosema, ukifikilia ni kwanini Israel ililipua ndege za keshi la Uganda karibu zote ni hakuna sababu ya muhimu zaidi ya hii yakoMastermind wa vita ile alikua ni Israel akisaidiwa na Muingereza na Mmarekani, sisi tulitumika bila kujijua.
Hi vita imepiganwa mwaka 1978/79 sio muda mrefu wala, uliza tu wenyeji wa mkoa wa Kagera watakwambia, uliza wenye umri wa miaka 55 and above, hi sio sawa na mambo ya vita vya maji maji, au vya Mkwawa na Wajerumani ambayo hatuna uhakika na kile tunacho kisoma kama ni cha kweli au laa. Hao watu watakwambia shida walioipata kwa kurushiwa mabomu na risasi mkoani kwako Kagera. Tusibishane tu kwasababu tunampenda Idd Amini na kumchukia Nyerere au tusitete kwasababu tunamchukia Idd Amini na kumpenda Nyerere, tuweke facts mezani. Unadhani ni kwanini hadi rais wa Libya hadi akaingilia vita ile isio muhusu? Ni mjinga pekee yake anaweza kuamini kwamba eti Nyerere angeweza kujipeleka vitani kijinga kwasababu zozote zile, Idd Amini alikua vizuri na tishio kivita kuliko Tanzaniahakuna ushahidi wowote wa Idd amin kuichokoza Tanzania,kama upo uweke hapa, Nyerere mwenyewe ndiye alianza maneno ya choko choko toka siku Amin anaapishwa ndipo Amin akamtumia Telegram mchonga na kumwambia "laiti kama ungekuwa mwanamke ningalikuoa..."
baadaye mchonga akawa anafadhili operation za kijeshi dhidi ya Uganda kwa pesa ya walipa kodi,amin aliwafukuza wahamiaji wote mpaka wa Tanzania akidai ni wezi na wahuni,kina museven walivamia Uganda wakitokea hapo Tanzania ndipo Amin akatuma jeshi na alipanga kufika mpaka Dar es salaam