Vita ya Kagera iligharimu Tanzania Trilion 1.15

Uko sahihi sana.
Hii vita ya kagera kama isingefanyika na mfumo wa kijamaa kama usingekuwepo na Watanzania tukajipanga vizuri TZ tusingekuwa hapa,tungekuwa tumepiga hatua sana
 
Nyerere akili zake kama Magufuli.
Eti ndio miamba na matingatinga ya Tanganyika!!!
Duuuuuuuuu, kweli to Tanganyika tumepatikana
 
we jamaa umetuchukuliaje kwa hii comment?.
 
Nani kakuambia Kagera ilikuwa inataka kuchukuliwa....mkuu kuna ishu nyingi sana zimejificha nyuma ya ile vita....wala sio kuchukuliwa kwa kagera kama tunavyoaminishwaga.


βœ”βœ”βœ”βœ” πŸ’―%------ very true.

Wewe una akili sana.
 
hizi record umepata wapi kuwa jwtz walikimbia records zangu zote zinaonyesha hii ilikuwa battle fup ya siku 2 toka 10 march to 11 march na jwtz walishinda.
 
Ebu wekeni mambo wazi jamani,mbona mnatupa kidogokidogo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…