Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

Mnakosa subra vijana wa leo. Subra nayo ni ibada. Mngesubiri nimalize kazi then niwape mkasa wote. Ni tukio ambalo siwezi sahau. Hasa nlipoenda field kwenyewe..ukiuliza kikosi cha 20kj wananifahamu vizuri
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤩🤩🤩🤩🤩🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha uongo wewe humu tupo vizazi vilivyo bobea siyo GEN Z. Mwaka huo hakukuwa na MOBILE PHONES Kwahiyo acha kuwadanganya wasomaji. Simu za mikononi zimeanza miaka ya 1996/1997. Na vita vya Kagera ilikuwa mwaka 1978-1979
 
Umeyakanyaga kijana mwenzangu. Chai imekuwa ya moto sana
Mnakosa subra vijana wa leo. Subra nayo ni ibada. Mngesubiri nimalize kazi then niwape mkasa wote. Ni tukio ambalo siwezi sahau. Hasa nlipoenda field kwenyewe..ukiuliza kikosi cha 20kj wananifahamu vizuri. Hivi vita siwezi visahau. Simu nlikuwa natumia ilikuwa ni motorolla.
 
Kwaiyo simu ili vibrate mara 20 huo mwaka 1978.
Jamaa usiendee na stori usije kutuambukiza ujinga wako.

Uwongo wa mchana kweupe...
 
Kijana wa 20
Kijana wa 2005 huyu, anadhani mwaka 1978 kulikuwa na simu za kiganjani. Rudi ukajipange upya ndugu.
 
Pole sana mleta mada (chai) kwa kupopolewa namna hii
 
Kwaiyo simu ili vibrate mara 20 huo mwaka 1978.
Jamaa usiendee na stori usije kutuambukiza ujinga wako.
Mnakosa subra vijana wa leo. Subra nayo ni ibada. Mngesubiri nimalize kazi then niwape mkasa wote. Ni tukio ambalo siwezi sahau. Hasa nlipoenda field kwenyewe..ukiuliza kikosi cha 20kj wananifahamu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…