Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

1
Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?"

Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje? Mara tena simu ikaanza ku vibrate.....safari hii sikutaka hata kufikiria kupokea. Ili vibrate kama mara 20 hivi nikaona isiwe kesi ngoja nipokeee ila nijifanye nimelala naumwa.

Nilipopokea nilisabahiwa na tusi kwanza " we falah unajifikiria kupokea simu upo juu ya demu nini?"

Kabla.sijajibu rafiki yangu Majariwa aliendelea. " Mwanangu kaza matakoh....tunaondoka.wote kwenda Kagera Idd Amin kavamia Tz. Nawe jina lako limetAjwa katika wanaoondoka. Fanya fanya tusepe kesho"

Nlimshanga Majariwa anaongea kama jambo la kufurahisha wakati mwenzie ndo nimetoka kulipa mahari....nikawaza hapa nisije nikawa mahari nimewalipia watu wengine....sikuwa na namna. Nikarudi ndani ukweni nikiwa na mawazo mengi sana....

ITAENDELEA.....
1978 kulikuwa na simu za vibrate? Kwanza hizo simu zwnyewe za ttcl hazikuwepo mitaani. Ni baadhi tu ofisi. So huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine.

Mods pelekeni huu uzi kwenye jukwaa la utani na joke.
 
Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?"

Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje? Mara tena simu ikaanza ku vibrate.....safari hii sikutaka hata kufikiria kupokea. Ili vibrate kama mara 20 hivi nikaona isiwe kesi ngoja nipokeee ila nijifanye nimelala naumwa.

Nilipopokea nilisabahiwa na tusi kwanza " we falah unajifikiria kupokea simu upo juu ya demu nini?"

Kabla.sijajibu rafiki yangu Majariwa aliendelea. " Mwanangu kaza matakoh....tunaondoka.wote kwenda Kagera Idd Amin kavamia Tz. Nawe jina lako limetAjwa katika wanaoondoka. Fanya fanya tusepe kesho"

Nlimshanga Majariwa anaongea kama jambo la kufurahisha wakati mwenzie ndo nimetoka kulipa mahari....nikawaza hapa nisije nikawa mahari nimewalipia watu wengine....sikuwa na namna. Nikarudi ndani ukweni nikiwa na mawazo mengi sana....

ITAENDELEA.....
1978 ulikuwa na simu ya kuvibrate?
 
ITAENDELEA....

Mnakosa subra vijana wa leo. Subra nayo ni ibada. Mngesubiri nimalize kazi then niwape mkasa wote. Ni tukio ambalo siwezi sahau. Hasa nlipoenda field kwenyewe..ukiuliza kikosi cha 20kj wananifahamu vizuri
Vita ya kagera?.....wanajeshi kwenda vitani walichaguliwa kwa majina?.........mwanajeshi mstaafu aliepigana vita ya kagera anaijua JF?.......WALIOENDA VITANI KAGERA LEO NI MAHAYATI NA WAZEE WA KUANZIA MIAKA 70 NAKUENDELEA.
 
YUko wapi huyo mwaka 78 alikua na Iphone six

1000284974.jpg
 
Back
Top Bottom