Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

Ikimaliza form six njoo nikuonyeshe infinix yangu ya mwaka 1972 hapa msange 😑😑😑😑
 
Ilikuepo kitu kinaitwa police message au police call
 
Kumbe miaka ile kulikua na simu za mkononi eeh?
 
Samahani kama ntatoka nje ya mada mimi naomba nikuulize kipindi hicho vita ya kagera inaanza utakuwa na kumbukumbu katibu mkuu wizara ya ulinzi kwa wakati huo alikuwa nani?

Maana babu yangu mzaa mama inasemekana alikuwa na cheo hicho naomba nipate confirmation kwa yeyote anayejua system ya uongozi ilivyokuwa kipindi hicho najua wahenga mko na uwezo mkubwa wa kukumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…