Vita ya kisiasa baina ya Tanganyika na Zanzibar ipo wazi sasa

U r off point.
 
Haki ya kuchagua Rais wa Zanzibar au Mtanganyika kugombea uRais wa Zanzibar. Mzanzibar anaweza kugombea ubunge wa Temeke au Kinondoni bila vikwazo vya kisheria.

Mtanganyika hawezi kugombea ubunge au uwakilishi wa jimbo lolote nchi ya Zanzibar.
Muungano wa kijinga sn kwanza umejaa udinni tupu, hakuna mbunge au mwakilishi mkristo kutoka Zanzibar hata kwenye baraza la mapinduzi
 
Usawa uwepo.matabaka ya raia wa upande mmoja wa muungano kupewa haki zote huku raia wa upande mwingine wakikosa ndipo tatizo au matatizo yanapoanzia.

Tiba ni kuirejesha serekali ya Tanganyika.
Siyo Zenjbar?
 
Kabisaa
 
Yaani kama Tanganyika unaruhusu kuongozwq na wakimbizi basi tumchukue Paul kagame, sio huyu Bi tozo.
 
Haki ya kuchagua Rais wa Zanzibar au Mtanganyika kugombea uRais wa Zanzibar. Mzanzibar anaweza kugombea ubunge wa Temeke au Kinondoni bila vikwazo vya kisheria.

Mtanganyika hawezi kugombea ubunge au uwakilishi wa jimbo lolote nchi ya Zanzibar.
ni mzanzibar gani aliyegombea ubunge bara? hebu tupe ufafanuzi wa hili, na huyo aliyepo si aliwekwa na JPM na wala hakuchaguliwa wala kupendekezwa na wazenji, na pia baba yake ni mbara, sasa Mungu awape nini tena.
 
Hapo patamu Rais wa Zanzibar ni Mzanzibar,Rais wa Tanganyika ni Mzanzibar !.

Nchi mbili zote zinaongozwa na Raia kutoka nchi moja ya Zanzibar.Tanganyika hakuna watu wa kuongoza Tanganyika.

Hapa tatizo ni katiba mbovu ambayo imeizika Tanganyika.
Hapo ndipo tunapomlaumu mwendazake.
 
Tangu lini maslahi ya Tanganyika hajawa hayapo? Hayo maslahi mumeyaina saizi ambapo Rais ni Mzanzibari?

Miaka yote Rais akiwa mbara mbona hamjawahi lalamika badala yake Zanzibar ndio imekuwa ikilalamika?

Acha upumbavu,vunjeni Muungano kama mna jeuri Ili tuone nani ataumia
 
Technically ni sawa Kwa sababu walioweka hivyo walikuwa wabobezinwa sheria na waliona inafaa

Sasa wewe nyumbu unaongea nini?
 
Tangu lini Makamba na Kinana waipiganie Tanganyika ???!!!
Hahahahaha je uliwahi kuwasikia hata siku moja wakimuunga mkono mch Mtikila ??????!!hahahaha Mama amewashika pabaya !

Mama shikilia hapo hapo !
maisha yangu yote sijawahi kuwasikia Kinana wala Makamba wala Nape akimuunga mkono mchungaji Mtikila kuhusu Tanganyika na rasilmali zake πŸ˜³πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œ

Mama shikilia hapo hapo mgambo wanakanyagana wao kwa wao !
 
Kwa hiyo unakubalina na hoja kwmaba kumbe shida sio Muungano bali Mzanzibari hatakiwi kuwa Rais? Kuna haja ya Muungano mpaka hapo?
 
Naisubiri hiyo siku kwa hamu kubwa.
 
ni mzanzibar gani aliyegombea ubunge bara? hebu tupe ufafanuzi wa hili, na huyo aliyepo si aliwekwa na JPM na wala hakuchaguliwa wala kupendekezwa na wazenji, na pia baba yake ni mbara, sasa Mungu awape nini tena.
1. Makamu Mwenyekiti CDM Salim Mwalimu.
2. Dr Mwinyi Rais wa Zanzibar Mkuranga.
 
Mwl Nyerere hayupo, Karume hayupo sisi tupo ni wakati wa kusahihisha huu muungano unaoinyonya Tanganyika.
Uchaguzi wa 2024/25 unapaswa kuaihirishwa ili nchi iondokane na ndoa hii ya utotoni.
Rais aliyepo madarakani aendelee kwenye hiki kipindi cha mpito, tuseme miaka hii mitano wakati tukiandika Katiba mpya na kufanya kura ya maoni kuhusu kuendelea kuwa na Muungano huu wa hovyo unaowanufaisha viongozi wa CCM na ukoo wao. Wakati ni SASA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…