Vita ya kisiasa baina ya Tanganyika na Zanzibar ipo wazi sasa

Vita ya kisiasa baina ya Tanganyika na Zanzibar ipo wazi sasa

Zanzibar ni Nchi na nusu, hizi pimbi huku Tanganyika hazina hata bendera hata pambio, nawapenda Sana Wazanzibar Wana wivu Mkubwa sana na Nchi Yao.

Leo hii Polisi Wana uwezo wa kufanya upumbavu wowote ule Kwa WA TANGANYIKA ila Sio Zanzibar, eti unaamka asubuhi basi unakimbilia kufuta vijiji. Kajaribu huo upumbavu pale mchambawina au mwembe Mawazo uone mziki wake....
 
Achana chokochoko hizo ... Muungano Daima ..
 
Back
Top Bottom