Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

Wakili ni Alloyce Komba? Basi mmepigwa, wakili anaandika barua kwa Waziri? Ndio utaratibu wa sheria? Sio kwa Msajili wa hati kupeleka caveat au kuripoti Polisi au kufungua shauri mahakama ya ardhi/mirathi?
 
Hao watoto wanauza kila mali yao.
Sio Bagamoyo tu.

St Mary's ilioko Mbagala nayo imeshauzwa kwa mchaga.

Soon zitapigwa frem upande ule unaoangaliana na stend mpya ya mwendokasi.
 
Muta atawasumbua hao ndugu zake , tapeli sana ameliza watu wengi viwanja akiona kiwanja hakijaendelezwa anakitengezea hati anakiuza anafanya utapeli wa kivuli cha udiwani

Huyo tibe mwenyewe ni balaa. Nimesoma shule zao kitamboo. Namkumbuka swaga zake. Watoto wake kazaa na mchina walati anaishi USA kisha akawabeba kibabe kuwaleta bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…