Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

Kiongozi hata mahindi huwa ni hivyo. Huwezimkukuta migogoro ya kizaramo hiii
Nadhan kwakuwa wenzetu wanaishi kama kampuni tu hiyo inawasaidia
Waarabu wanawezaje? Sijawai sikia mgogoro wa waarab
 
Tatizo wengi wetu tunafikiri tuna siku nyingi za kuishi. Uhalisia maisha yetu ni mafupi na kifo kinaweza kutokea wakati wowote mara nyingi tusipotegemea.

Unaandika Womia na unau- update kila baada ya miaka mitatu, mitano. Ila huwaambia watoto wasije wakakutanguliza mbele ya haki kabla ya siku zako.
Kwanini wahindi, wazungu na waarabu wakifa huwa hatusikii kufikishana mahakamani?
 
Hivi kweli mali zote hizo za mama bado unagombea udiwani kuna shida sio bure.
Hivi kweli mali zote hizo za mama bado unagombea udiwani kuna shida sio bure.

Mali zote Muta anagombea Udiwani,shangaa Mali zote na bado alikua ni tapeli wa kiwango cha kimataifa kabla hata Mama Rwakatale hajafariki

Kwenye udiwani ndio anakopigia viwanja
 
Warabu mfumo wa urithi upo wazi kabla hata mtu hajachuma mali😅 ndio maana shida huwa hamna kabisa.

Huwezi sikia watu wanagombea mali uarabuni sababu kitabu cha dini kimeshasema share ya mtu ni ipi.
Waislamu waswahili wa Tanzania wao wanatumia kitabu kipi ni tofauti na hicho cha waarabu?.maana migogoro mwenye mali Akira huwa sio ya kitoto
 
Kinacho sumbua watu ni ubinafsi na ukosefu wa upendo badala ya kushirikiana kuendeleza mali wao wako busy kuzigawanya na kuzitapanya mwisho wa siku zinapotea mnarudi kwenye umaskini. mnaanza kusingizia mwenye nazo kaondoka nazo kumbe ni ujinga wenu. Bora muweke management ya kusimamia nyie mbaki kugawana faidi kuliko kila mtu kuchukua chake mapema.
 
Waislamu waswahili wa Tanzania wao wanatumia kitabu kipi ni tofauti na hicho cha waarabu?.maana migogoro mwenye mali Akira huwa sio ya kitoto
Hahahahah waislamu wanafata katiba sio kitabu cha dini😅
 
Akina Lemutuz wanamalizana kwa kugombea Urithi wa Mzee John Malecela wakati Mzee mwenyewe yu Mzima wa Afya kuliko hao watoto wake

Tukimaliza kugombea mali tunazitapanya tunafilisika tunakuja kuwatolea macho Wahindi na Waarabu ambao wao Mzee wao akitangulia mbele za haki huwa wanagawana mali then wanachanga na kuendelea na maisha…Mzee ASAS kafariki lakin kimya husikii fyoko fyoko…Baba yake Ghalib kafariki tayari vijana wake wamejipanga…Mzee Mehboob Manji hatujaskia lolote huu ni mwaka wa 20 plus

Njoo sasa kwa sie waswahili…anzia kwa Mzee Reginald, Lwakatare, Bilionea Msuya…yaani Mali zako sometime ndio zinakutoa roho
 
Muwe mnagawa Mali Kwa watoto kila mwaka
Hakuna kugawa mali fanya kazi tumia kwa kadri unavyoweza waachie madeni tu kama wanakupenda watakulipia, kama sisi hatukuachiwa mali na wazee wetu na wewe kula tu hakuna kujibana wacha wakukumbuke kwa mazuri na mapenzi tu sio mali. Nawashauri acha kulimbikiza mali ishi maisha yako full usjinyime kula, kunywa usivimbiwe tu lakini enjoy mali zako ukiwa hai. Binadamu hawatakushukuru hata uwaachie Dar na bahari yake haitawatosha watataka na kaburi lako.
 
Back
Top Bottom