Vita ya madawa ya kulevya aliyoanzisha Makonda ilikuwa ni “bosheni”?

Vita ya madawa ya kulevya aliyoanzisha Makonda ilikuwa ni “bosheni”?

Yawezekana Wana info zaidi khs watu fulani
Mmarekani kukukamata anaweza akakufatilia hata Miaka 2 anakusanya ushahidi akumalize
Mf-mzigo inatoka wapi, pesa ulitumiwa na Nani, ulimtumia fulani, ulisafiri nchi fulani tar siku fulani nk

Ova
Ngoja tuone Marekani ikiingiza mkono wake kwenye hili hali itakuwaje, maana Marekani ndio wenye vita vya kweli dhidi ya madawa ya kulevya sio sisi Waafrika wenye njaa ambao tuko tayari kuchukua hongo kubwa na kuwaacha wafanya biashara wa madawa ya kulevya wakitamba wakati madawa hayo yanakwenda kuathiri ndugu, watoto, jamaa na kizazi chetu na taifa kwa ujumla.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite alikwenda South Africa baada ya mapambano yake ya madawa ya kulevya na alipiga picha na Daudi Kanyau mmoja wa ma don wa biashara hiyo ambae amehamia South.

Ile picha yake na Daudi Kanyau ilileta maswali mengi yasiyo na majibu.
Inasemekana yko msumbj sahv
Msumbj ndy kituoo kikubw cha kushushia ("umenielewa) ndy Wana peleka s. A na tz
Nch zngn.....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi sikuamini, lakini hilo la kutajwa kwa jiji la Dar na marekani ndilo limeanza kufumbuwa watu macho.

Hao waliojifanya wanadhibiti hayo madawa ndio waliohodhi hiyo biashara. Lengo la kuwachomoa wengine ni ili wabaki wao tu. Haya yanayoendelea kwenye vyama vya siasa ndio wamecopy na kupaste mbinu. Haiwezekani nchi inayohadaa na kujisifu na kupambana na madawa ya kulevya ituhumiwe na wenye uwezo wa kujua ukweli kuwa jiji letu ndio kinara.
 
Kiasi fulani imepunguza maana zamani unga ulikuwa unauzwa hadharani ila Sahv unga unauzwa kwa kifichoooo.....
Hakuna kijiwee kilichokuwa nguli cha kuuza madawa ya kulevya kama pale kinondoni zamani duka la maimartha pale unga ulikuwa unauzwa hadharani, muuzaji anakuambia pale na kwenda kwa shift naingia saa 12 mpk saa 4,narudi tena saa 5 mpk 8,.......
Kiukweli hii biashara ni ngumu sana kuifuta kwa asilimia 100...hata ulaya na marekani upo, Indonesia Malaysia nchi zna sheria ngumu lkn unga upo..... Kinachofanyika ni kuwa punguza kasi tu wauzaji

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi kuna wauzaji maalum
 
Makonda akishirikiana na Q plus kama chawa wake sasahivi wanatengeneza pesa ndefu kupitia madawa. #Usiniulize

Hii taarifa hata baba mwenye nyumba anayo ila hana la kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Leo nimejifunza vitu vipya hapa.

1. Kanyau
2.Q plus
3. Chawa

Kuhusu baba mwenye nyumba, sasa tunaanza kuona pengine ana manufaa makubwa. Huyu jamaa watu wanasema ana cheti feki lakini naona ni hataree kama hii ni kweli!

Mkuu funguka zaidi kuhusu huyo chawa wake.
 
Swala lipo wazi wamarekani wamebana sana nchi za afrika magharibi kupitisha madawa kutoka America kusin kwenda ulaya...sasa wauzaji wanatumia njia ya afrika mashariki pwani za Mombasa,msumbiji na Tanzania(sis sio watumiaji) kama mmarekan ameshtuka kua tumeanza kua narco state basi yajayo yanafurahisha...ila sitaki amini tumefikia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi kuna wauzaji maalum
Mkuu serikali nyingi ambazo zimewekewa vikwazo huwa zinapiga miguu yote. Halafu mfano North Korea, wako kwenye hiyo business, lakini nchini kwao hawatumii. Hii ni mbinu ambayo imeshawahi kutumika na inaendelea kutumika. Na madawa hayo mengi yanaishia marekani kwenye soko kubwa. Ndo maana marekani wana taarifa nyingi sana kuhusiana na biashara hii. Wanatumia millions if not billions kwenye ku combat.

Ninasema tu watu wawe makini wasiliingize Taifa letu kwenye matatizo. Gavana wa Dar hajatoa tamko?
 
Mkuu serikali nyingi ambazo zimewekewa vikwazo huwa zinapiga miguu yote. Halafu mfano North Korea, wako kwenye hiyo business, lakini nchini kwao hawatumii. Hii ni mbinu ambayo imeshawahi kutumika na inaendelea kutumika. Na madawa hayo mengi yanaishia marekani kwenye soko kubwa. Ndo maana marekani wana taarifa nyingi sana kuhusiana na biashara hii. Wanatumia millions if not billions kwenye ku combat.

Ninasema tu watu wawe makini wasiliingize Taifa letu kwenye matatizo. Gavana wa Dar hajatoa tamko?
Siku nikimwamini Makonda nabadilisha jinsia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waliojifanya wanadhibiti hayo madawa ndio waliohodhi hiyo biashara. Lengo la kuwachomoa wengine ni ili wabaki wao tu. Haya yanayoendelea kwenye vyama vya siasa ndio wamecopy na kupaste mbinu. Haiwezekani nchi inayohadaa na kujisifu na kupambana na madawa ya kulevya ituhumiwe na wenye uwezo wa kujua ukweli kuwa jiji letu ndio kinara.
Mkuu hata mimi nilisema kwenye ile mada moja iliyoanzishwa kuhusu “Makonda kujitolea muhanga” eti kupambana madawa ya kulevya. Nikasema lazima kuna kundi linamalizwa ili jingine lihodhi biashara hiyo. Lakini inawezekana pia kiasi kikubwa kinapitishwa badala ya kuuzwa ili kuhadaa umma na ulimwengu. Ambacho hawajui, ni jinsi ambavyo marekani wamewekeza kwenye vita hiyo nje ya marekani nk. Na wakisema hayo ujuwe wana ushahidi wa kutosha.

Sasa inasemekana jamaa ana utajiri hatari. Hizo pesa zinamwagwa kuwanunua upinzani kama ni kweli unadhani zimetoka wapi? Kwasababu sidhani kama ni pesa za walipa kodi. Zile rais anazitumia kwenye miradi mikubwa nk. Labda na yale maburungutu yake ambayo huwa anagawa akiwa ziarani.
 
Inasemekana yko msumbj sahv
Msumbj ndy kituoo kikubw cha kushushia ("umenielewa) ndy Wana peleka s. A na tz
Nch zngn.....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hataree! Mara ugaidi, mara madawa. Mimi nakuhakikishia something big is cooking.

Hiki ni kipindi cha kusafisha nyumba na si kujitia viburi na jeuri. Sasa gavana ngoja tuone kama atajibu kuhusu hili. Akinyamaza ujuwe ni kweli na anaogopa ushahidi wanao.
 
Kwani gavna ametajwa direct

Ova
Duh! Hataree! Mara ugaidi, mara madawa. Mimi nakuhakikishia something big is cooking.

Hiki ni kipindi cha kusafisha nyumba na si kujitia viburi na jeuri. Sasa gavana ngoja tuone kama atajibu kuhusu hili. Akinyamaza ujuwe ni kweli na anagoops ushahidi wanao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi, wakati mkuu wa mkoa wa Dar Makonda alipokuja na ile listi ya manguli wa madawa ya kulevya, nilijuwa tu ilikuwa ni “bosheni”

Nilisema kuna watu anawaondoa kwenye biashara ili baadhi ya wengineo wanufaike. Cha msingi hapa, ni ku create kundi rafiki la madawa hayo.

Kuna taarifa kuwa marekani imeitaja Dar es salaam kama center kubwa ya kupitisha madawa hayo. Je madawa hayo yanapitishwa kimkakati?

Nimejiuliza sana kuhusu hili, kwasababu kuna mataifa mengi tu ambayo serikali zake zimekuwa zikitumia madawa ya kulevya na biashara nyingine haramu ili kuweza kuziendesha serikali pamoja na kugharamikia mambo yao binafsi.

Taifa kama North Korea ni kinara wa biashara hizo kupelekea mataifa mengine. Kuna ambao ni pirates mfano Somalia nk
Wakati Makonda anayataja hayo majina, nilijiuliza sana kwasababu kingpins wenyewe hawakuwa wameguswa.

Sasa kama Makonda mwenyewe ni mtu influential hapa nchini kwetu, je haiwezekani ikawa ni dalili za kuwa ni mtu muhimu sana kwenye serikali?

Kuna wengi wanaodai kuwa marekani wanatafuta sababu. Na kuna watakaochokonoa suala la Pompeo kumpiga marufuku Makonda asikanyage marekani yeye na mkewe.

Sasa issue kama hii, ni wazi kuwa yeye watakuwa wanamuhusisha moja kwa moja maana ndo gavana wa jiji.

Hii hapa chini ndo listi au majina ya ma kingpins wa madawa ya kulevya waliotajwa na Makonda, ambapo gazeti la Mtanzania lilimpamba kwamba “amejitoa muhanga” kwenye vita ya madawa ya kulevya...

“Mkuu huyo wa mkoa aliwataja wasanii wanaodaiwa kutumia dawa za kulevya kuwa ni Khalid Mohamed marufu kama TID, Wema Sepetu, Rashidi Makwiro (Chidy Benz) na wengine akiwataja kwa jina moja moja Rachel, Sniper na Tito.

Makonda aliwataja watu wengine aliowanasa kuwa ni Said Masudi Lina ‘ Alteza’, Nassor Mohamed Nassor, Bakari Mohamed Khelif na aliyemtaja kwa jina moja la Omary”

Seriously? Nadhani aliwataja pia Mbowe na Gwajima amongst others...

Wengine waliotajwa na Makonda ni mbunge wa zamani wa Kinondoni, Iddi Azzan ambaye alikuwa kipa wa timu ya wabunge na timu ya wabunge wa Simba wakati alipokuwa mbunge, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji.

Pia Makonda aliwataja watu 65 ambao alidai wanatakiwa kufika katika kituo cha polisi kwa ajili ya zoezi hilo la mahojiano katika kampeni yake ya kuendeleza kupambana na utumiaji na biashara ya dawa ya kulevya.

Majina mengine maarufu yaliyokuwepo katika orodha hiyo ni pamoja na mfanyabiashara maarufu wa nguo Hussein Pambakali, na wamiliki wa Slipway na Yatchy Club.

Sasa kama hii biashara imeongezeka baada ya vita vya Makonda, maneno yangu yale yanaanza kuonyesha ukweli wake.

Kwasababu kuna ambao wanashamgazwa na uwezo wa pesa wa Makonda nk. Wengine wanasema ni ufisadi dhidi ya kodi zetu nk.

Kuna term ambayo inatumika, “Narco-State”, ambapo kunakuwepo na watu wafanyabiashara wa madawa hayo ambao wanawezeshwa na serikali kama nilivyosema North Korea.

Lakini neno lenyewe lilianza kupata umaarufu kule Bolivia ambapo kwa mara ya kwanza, kulitokea mapinduzi ambayo yalifadhiliwa na biashara hiyo ya madawa ya kulevya.

Kwakifupi tu, hili suala siyo la kufumbia macho hata kidogo. Je wamarekani wenyewe wanaweza kutoa taarifa zaidi kuhusu walichokiona?

Certainly, kwasasa gavana wa Dar sidhani kama anakubaliana na taarifa hii ya wamarekani. Ila nachojuwa, ukiwepo kwenye listi ya wamarekani wanakuja kukunyakua kama wale tai wanavyonyakua.
Naona biashara ya madawa ndio chanzo pekee cha mapato kikichobaki kwenye serikali ya CCM baada ya biashara ya knunua wapinzani. Unajiuliza ChidBenz ana nini afanye biashara hiyo?? Yeye ni mtumiaji wa Heroon grade ya mwisho( chafu)
 
Yawezekana Wana info zaidi khs watu fulani
Mmarekani kukukamata anaweza akakufatilia hata Miaka 2 anakusanya ushahidi akumalize
Mf-mzigo inatoka wapi, pesa ulitumiwa na Nani, ulimtumia fulani, ulisafiri nchi fulani tar siku fulani nk

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona wametoa taarifa kama hiyo, ujuwe tayari wana ushahidi wa kutosha. Hapo sasa wanasikilizia majibu kutoka kwetu ie Gavana. Yakiwa tofauti na taarifa yao watachukuwa hatua nyingine.
 
Kwa mujibu wa @esbad98

Kuna wimbi kubwa la wahamiaji kutoka middle East yaani Iraq, Syria,Lebanon na uturuki. Wengi wanaanzisha legit business Kama za ujenzi, majenereta, solar, aluminium,gypsum mpaka Casinos,restaurants Hii tabaka ni la kuangaliwa kwa umakini sana. Hawa wengi wako kwenye cartels huko kwao wanakuja huku Kama investors lakini yawezekana ni Distributing channel to other parts of the world.

Lipo Kundi la watu kutoka Far east, eastern Europe na China. Hawa wengi pia wanaingia kwa via za uwekezaji mahoteli, ujenzi, appartments, land lease development, security companies, motor vehicle garages. Kuna Hoteli hapo Regent za kichina mswahili ukiingia hupati huduma utaondoka mwenyewe. Hawa pia wako kwenye hizi business.

Kundi la West Africa haswa Nigerians Hawa wamejichanganya mpaka kuuza nywele na urembo, Mambo ya computer, music etc Hawa ndio wabaya zaidi maana wao wanaishi mpaka manzese ndanindani huko.

Historian ya madawa ya kulevya ni wamarekani wenyewe kupitia vyombo vyao vya usalama Wana jihusisha na haha Mambo kwa maslahi ya nchi zao.

Hata Hili la kina shkuba kwenda kufungwa marekani no afueni kwao na wakitoka sidhani Kama wataacha hizi bizness.

Sent using Jamii Forums mobile app

cc mrangi
 
Back
Top Bottom