Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 467
- 384
Uhakika wa zoezi like hata nami nahisia za aya ya pili
Marekani wameshtukia kwasababu wakenya ndo wanaotoa taarifa.Swala lipo wazi wamarekani wamebana sana nchi za afrika magharibi kupitisha madawa kutoka America kusin kwenda ulaya...sasa wauzaji wanatumia njia ya afrika mashariki pwani za Mombasa,msumbiji na Tanzania(sis sio watumiaji) kama mmarekan ameshtuka kua tumeanza kua narco state basi yajayo yanafurahisha...ila sitaki amini tumefikia huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umekosea thread au macho yangu?😀Akimaliza kuzaa nao atamteua mmoja wapo awe Mwenyekiti.
Joyce Mkuya kaa chonjo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
US agency labels Dar East Africa’s drugs trafficking hubHaka kasabufu kana mikwaruzo na mikwaru-kwaru! Sosiii? Imekaa kindoto ndoto hivi....
Rekebisha ieleweke
Nakupa 100% Kinje, Kanyau na Pinto na Jamaa mmoja nimemsau jina anashinda posts mpiga kelele sana anaitwa Kaligo. Hawa hawakuguswa kabisaa. Kanyau alijenga hadi misikiti. Daudi aliaanza biashara hii na Abbas enzi za mwinyi .Bashite alikwenda South Africa baada ya mapambano yake ya madawa ya kulevya na alipiga picha na Daudi Kanyau mmoja wa ma don wa biashara hiyo ambae amehamia South.
Ile picha yake na Daudi Kanyau ilileta maswali mengi yasiyo na majibu.
Kubaliana na wewe waturki wapo wengi wameoa vidada vyetu vllivykuwa Malaya wamevipa watoti. Wao wanajifabya kuuza makapeti, kuchonga madrisha ya plastic kumbe husikubwao ni supply Wa madawa haswaaKwa mujibu wa @esbad98
Kuna wimbi kubwa la wahamiaji kutoka middle East yaani Iraq, Syria,Lebanon na uturuki. Wengi wanaanzisha legit business Kama za ujenzi, majenereta, solar, aluminium,gypsum mpaka Casinos,restaurants Hii tabaka ni la kuangaliwa kwa umakini sana. Hawa wengi wako kwenye cartels huko kwao wanakuja huku Kama investors lakini yawezekana ni Distributing channel to other parts of the world.
Lipo Kundi la watu kutoka Far east, eastern Europe na China. Hawa wengi pia wanaingia kwa via za uwekezaji mahoteli, ujenzi, appartments, land lease development, security companies, motor vehicle garages. Kuna Hoteli hapo Regent za kichina mswahili ukiingia hupati huduma utaondoka mwenyewe. Hawa pia wako kwenye hizi business.
Kundi la West Africa haswa Nigerians Hawa wamejichanganya mpaka kuuza nywele na urembo, Mambo ya computer, music etc Hawa ndio wabaya zaidi maana wao wanaishi mpaka manzese ndanindani huko.
Historian ya madawa ya kulevya ni wamarekani wenyewe kupitia vyombo vyao vya usalama Wana jihusisha na haha Mambo kwa maslahi ya nchi zao.
Hata Hili la kina shkuba kwenda kufungwa marekani no afueni kwao na wakitoka sidhani Kama wataacha hizi bizness.
Sent using Jamii Forums mobile app
cc mrangi
Wana "info" kwasababau wao ndio wauzaji wakuu! Angalia movie maarufu kama "American Made"Yawezekana Wana info zaidi khs watu fulani
Mmarekani kukukamata anaweza akakufatilia hata Miaka 2 anakusanya ushahidi akumalize
Mf-mzigo inatoka wapi, pesa ulitumiwa na Nani, ulimtumia fulani, ulisafiri nchi fulani tar siku fulani nk
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii vita iliwashinda muda wanaona tz inapiga hatuabkwa kutumiwa kama bandari, in wivu tu in gwajimas voiceMadawa ya kurevya marekani yamekithiri kuliko nchi nyingine yeyote.
Angekuw mpambanaji kweli madawa yasingekuwepo kwa wingi marekani km ilivyo Sasa. Hii biashara ina Siri kubwa sana
Wanajamvi, wakati mkuu wa mkoa wa Dar Makonda alipokuja na ile listi ya manguli wa madawa ya kulevya, nilijuwa tu ilikuwa ni “bosheni”
Nilisema kuna watu anawaondoa kwenye biashara ili baadhi ya wengineo wanufaike. Cha msingi hapa, ni ku create kundi rafiki la madawa hayo.
Kuna taarifa kuwa marekani imeitaja Dar es salaam kama center kubwa ya kupitisha madawa hayo. Je madawa hayo yanapitishwa kimkakati?
Nimejiuliza sana kuhusu hili, kwasababu kuna mataifa mengi tu ambayo serikali zake zimekuwa zikitumia madawa ya kulevya na biashara nyingine haramu ili kuweza kuziendesha serikali pamoja na kugharamikia mambo yao binafsi.
Taifa kama North Korea ni kinara wa biashara hizo kupelekea mataifa mengine. Kuna ambao ni pirates mfano Somalia nk
Wakati Makonda anayataja hayo majina, nilijiuliza sana kwasababu kingpins wenyewe hawakuwa wameguswa.
Sasa kama Makonda mwenyewe ni mtu influential hapa nchini kwetu, je haiwezekani ikawa ni dalili za kuwa ni mtu muhimu sana kwenye serikali?
Kuna wengi wanaodai kuwa marekani wanatafuta sababu. Na kuna watakaochokonoa suala la Pompeo kumpiga marufuku Makonda asikanyage marekani yeye na mkewe.
Sasa issue kama hii, ni wazi kuwa yeye watakuwa wanamuhusisha moja kwa moja maana ndo gavana wa jiji.
Hii hapa chini ndo listi au majina ya ma kingpins wa madawa ya kulevya waliotajwa na Makonda, ambapo gazeti la Mtanzania lilimpamba kwamba “amejitoa muhanga” kwenye vita ya madawa ya kulevya...
“Mkuu huyo wa mkoa aliwataja wasanii wanaodaiwa kutumia dawa za kulevya kuwa ni Khalid Mohamed marufu kama TID, Wema Sepetu, Rashidi Makwiro (Chidy Benz) na wengine akiwataja kwa jina moja moja Rachel, Sniper na Tito.
Makonda aliwataja watu wengine aliowanasa kuwa ni Said Masudi Lina ‘ Alteza’, Nassor Mohamed Nassor, Bakari Mohamed Khelif na aliyemtaja kwa jina moja la Omary”
Seriously? Nadhani aliwataja pia Mbowe na Gwajima amongst others...
Wengine waliotajwa na Makonda ni mbunge wa zamani wa Kinondoni, Iddi Azzan ambaye alikuwa kipa wa timu ya wabunge na timu ya wabunge wa Simba wakati alipokuwa mbunge, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji.
Pia Makonda aliwataja watu 65 ambao alidai wanatakiwa kufika katika kituo cha polisi kwa ajili ya zoezi hilo la mahojiano katika kampeni yake ya kuendeleza kupambana na utumiaji na biashara ya dawa ya kulevya.
Majina mengine maarufu yaliyokuwepo katika orodha hiyo ni pamoja na mfanyabiashara maarufu wa nguo Hussein Pambakali, na wamiliki wa Slipway na Yatchy Club.
Sasa kama hii biashara imeongezeka baada ya vita vya Makonda, maneno yangu yale yanaanza kuonyesha ukweli wake.
Kwasababu kuna ambao wanashamgazwa na uwezo wa pesa wa Makonda nk. Wengine wanasema ni ufisadi dhidi ya kodi zetu nk.
Kuna term ambayo inatumika, “Narco-State”, ambapo kunakuwepo na watu wafanyabiashara wa madawa hayo ambao wanawezeshwa na serikali kama nilivyosema North Korea.
Lakini neno lenyewe lilianza kupata umaarufu kule Bolivia ambapo kwa mara ya kwanza, kulitokea mapinduzi ambayo yalifadhiliwa na biashara hiyo ya madawa ya kulevya.
Kwakifupi tu, hili suala siyo la kufumbia macho hata kidogo. Je wamarekani wenyewe wanaweza kutoa taarifa zaidi kuhusu walichokiona?
Certainly, kwasasa gavana wa Dar sidhani kama anakubaliana na taarifa hii ya wamarekani. Ila nachojuwa, ukiwepo kwenye listi ya wamarekani wanakuja kukunyakua kama wale tai wanavyonyakua.
Masikini Siangi, Jamaa nuoga sana, wanaobeba/bebesha hwajawahi kukamatwaTumepewa tuhuma nzito sana na State Department [narcotics ] , kuwa tulikamata wauza unga ili viongozi pendwa waingie kuifanya .... ; na inaenda mbali kuwa hadi vyombo vyetu vinatumika kusindikiza madawa ya kulevya
Kwa heshima ya Mzee Siang inatakiwa awe amejiuluzulu