Vita ya madawa ya kulevya aliyoanzisha Makonda ilikuwa ni “bosheni”?

Haka kasabufu kana mikwaruzo na mikwaru-kwaru! Sosiii? Imekaa kindoto ndoto hivi....

Rekebisha ieleweke
 
Marekani wameshtukia kwasababu wakenya ndo wanaotoa taarifa.
 
Bashite alikwenda South Africa baada ya mapambano yake ya madawa ya kulevya na alipiga picha na Daudi Kanyau mmoja wa ma don wa biashara hiyo ambae amehamia South.

Ile picha yake na Daudi Kanyau ilileta maswali mengi yasiyo na majibu.
Nakupa 100% Kinje, Kanyau na Pinto na Jamaa mmoja nimemsau jina anashinda posts mpiga kelele sana anaitwa Kaligo. Hawa hawakuguswa kabisaa. Kanyau alijenga hadi misikiti. Daudi aliaanza biashara hii na Abbas enzi za mwinyi .
 
Na
Kubaliana na wewe waturki wapo wengi wameoa vidada vyetu vllivykuwa Malaya wamevipa watoti. Wao wanajifabya kuuza makapeti, kuchonga madrisha ya plastic kumbe husikubwao ni supply Wa madawa haswaa
 
Wana "info" kwasababau wao ndio wauzaji wakuu! Angalia movie maarufu kama "American Made"
 
Madawa ya kurevya marekani yamekithiri kuliko nchi nyingine yeyote.
Angekuw mpambanaji kweli madawa yasingekuwepo kwa wingi marekani km ilivyo Sasa. Hii biashara ina Siri kubwa sana
 
Madawa ya kurevya marekani yamekithiri kuliko nchi nyingine yeyote.
Angekuw mpambanaji kweli madawa yasingekuwepo kwa wingi marekani km ilivyo Sasa. Hii biashara ina Siri kubwa sana
Hii vita iliwashinda muda wanaona tz inapiga hatuabkwa kutumiwa kama bandari, in wivu tu in gwajimas voice
 

Uko sahihi

1.ilitakiwa kuwa vita endelevu
2.advert/poster za kupinga madawa endelevu
3.kutoa reports za vita hii endelevu


Iliishia hewani

Na US wanaposema sisi ni vinara wa biashara hii...post yako is fitting very well
 
Tumepewa tuhuma nzito sana na State Department [narcotics ] , kuwa tulikamata wauza unga ili viongozi pendwa waingie kuifanya .... ; na inaenda mbali kuwa hadi vyombo vyetu vinatumika kusindikiza madawa ya kulevya
Kwa heshima ya Mzee Siang inatakiwa awe amejiuluzulu
 
Masikini Siangi, Jamaa nuoga sana, wanaobeba/bebesha hwajawahi kukamatwa
 
Ilikuwa ni upuuzi kuamini ule usanii, kwa sasa wanapiga kazi kama kawa tena tena watu ambao hutaamini kwa kuwashirikisha 'wapiga vita'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…