Vita ya madawa ya kulevya aliyoanzisha Makonda ilikuwa ni “bosheni”?

Wako Afghanistan wanavuna opium unaowaota wenye vita ya kweli[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako Afghanistan wanavuna opium unaowaota wenye vita ya kweli[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
"Hizi ni biashara za watu, ukiingilia wewe ndio unapigwa vita, wao wenyewe kwao shwari tu" huo ndio ujumbe nilokusudia.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Mkuu mimi sikuamini, lakini hilo la kutajwa kwa jiji la Dar na marekani ndilo limeanza kufumbuwa watu macho.
bashite ni agent wa shetani
Naomba Marekani wampige pini siku moja katikati ya bahari watekeleze majukumu yao
Mungu alisema walio wa shetani watarudi kwa shetani
 
Report ya juzi kutoka USA inaonyesha kuwa Tanzania sasa ni kinara wa kupitisha nganda.
Bosheni ya Matako ilikuwa kuwaondoa wauza nganda wasiopeleka kamisheni kwake. Kwa njia hiyo wengi wakawa ondoa na kubakia na "watu" wake.

Ametajirika sana kwa njia hiyo.
 
Int. Ya USA haijawahi kukosea kwenye harakati za kumbananisha mtu
 
Wanasambaza duniani
Wanawauzia blacks kuwamaliza akili...
NO..Ni mababa wa demokrasia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kuna matukio yalishawahi kutokea na kuna mataifa ambayo yanajipatia pesa kwa kuyaingiza US. Mataifa ya marekani ya kusini mengi yalifanya hivyo.

Swali la msingi hapa, ni kwanini biashara hii imezidi kupamba Moto baada ya yeye “kujitolea muhanga”?
 
Wanasema Bora yule Msambaa ,pamoja na Utwala wa kikwete kuonekana uchochoro ..he did amazing job ..volume ya unga inayopita now ni ya kimataifa tofauto kabisa na zamani ....na wanaofanya wanalindwa kidola

Mungu anatuona .....
Kama wanalindwa kidola ni noma mkuu. Kule Ethiopia gari za polisi zilikuwa zinasindikiza kabisa mzigo!🤦🏾‍♂️
 
Kama wanalindwa kidola ni noma mkuu. Kule Ethiopia gari za polisi zilikuwa zinasindikiza kabisa mzigo!🤦🏾‍♂️

Kama wanapora watu pesa na kufanya mahakama dalali wanashindwa nini ....
Huyo ni yule Waziri Mkuu wa Ethiopia aliyeangushwa
 
Fumbo mkuu...
Ila kuna uwezekano wa kuchafuliwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…