Vita ya madhabahu: Pale falme mbili zinapotunishiana misuli

Mkuu mbona hatari hii sasa itakuwaje
 
Unapokeaje kitu kama hicho kwa mtu ambaye hamna hata undugu??

Yaani from nowhere tu mtu anakutunuku Benzi??

Yeye hana ndugu wenye uhitaji huo??
 
Ila naona huyo jamaa aliyepewa gari itakuwa na yeye kaagizwa na madhabau yake ya kuteketeza Mali zake ili aanze upya kustawi.


Mwaka Jana 2024 kuna jamaa alichoma duka lake kubwa ambalo Kwa kuliangalia lilikuwa halikosi mtaji wa 20M.

Na alikuwa hana BIMA ya majanga wala nini.


Ila baada ya hapo Kwa sasa amestawi Sana Duka jipya alilofungua ni Mara 3 ya liloungua.

Matukio yapo mengi Sana watu hufanya .
 
Mshana Jr mtani nimeota naokota hela nyingi maeneo ya stendi. Hela zenyewe ni coin za 100 na 200 maana yake ni nini kiuchumi
Kuota juu ya kuokota sarafu kwa ujumla huchukuliwa kuwa ishara nzuri, mara nyingi huashiria bahati nzuri, fursa zinazowezekana, faida ndogo, na thawabu za bidii zinazokuja; inaweza pia kuonyesha mtazamo chanya kuhusu maisha yako ya baadaye na hali ya matumaini kuhusu njia yako ya sasa ya maisha.

Tafsiri kuu za kuota juu ya sarafu:

Ustawi na wingi:


Kupata sarafu katika ndoto kunaweza kuwakilisha faida ya kifedha, mafanikio katika ubia wa biashara, au tu hisia ya utajiri na ustawi inayokuja.

Mabadiliko chanya na fursa mpya:

Sarafu zinaweza kuashiria uwezekano mpya unaofungua maishani mwako, na kukuhimiza kuchukua fursa mpya zinazoweza kutokea.

Tuzo ndogo na mafanikio:

Kuchukua sarafu kunaweza kuwakilisha mafanikio madogo au mafanikio katika maisha yako ya kila siku, kukiri juhudi na maendeleo yako.
 
Mafanikio ama maanguko yana mengi nyuma yake na yamebeba siri kubwa sana na nyingine hazisemwi
 
E
Mara ya mwisho kwenda ni lini? Jitahidi uende hiyo hali itaisha
Akatambike mkuu mshana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…