Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wageni wakipewa magari.1.kulikuwa na ulazima gani wa Goodluck kupewa zawadi ya gari?
2.Hivi hapo kanisanai hakuna wahitaji wengine wenye kuhitaji msaada wa hali na mali?
3.Kwa nini kipaumbele kiwe kwa huyu Kijana mwenye gari tayari?
Wakati wageni wakipewa magari.
Wenyeji hali zao ni mbaya
Hapa uhalali wa kuiba nyota za wengine unapata nguvu.
Busara ilikuwa ni kurudisha gari Si kuichoma,Ile haikuwa gari,
Alichoma nyoka na madhabahu ya Nabii fake,
Vita inayokuja Kwa kijana ni ngumu mno, tuendelee kumuombea, vita zingine ni Bora kuziepuka, Yesu mwenyewe Kuna wakati alihama mji walipomkataa na kumpinga sana,
Busara ilikuwa ni kurudisha gari Si kuichoma,
Imagine umeokota hirizi ya mganga, Kisha unaichoma!!
Tatizo ni kubwa zaidi kumbe.. Hapo ni lazima watengeneze suluhu kwanza la sivyo unaweza kuwa mbuzi wa kafaraMkuu upande wa baba na mama hawajai kuelewana nyumban wameleta mahari mara mbili wanichukue niende kwenye ukoo wa baba uapande wa mama kina babu wanagoma mkuu
Oh! Haoni tena mbele iko wapi. Ni sawa na kuvaa suruali halafu njiani siafu wakakupandia na ukifika penye halaiki ya watu na umejitulia zako unataka kutoa neno; siafu hao wakaanza kukushugulikia tena kwa bidii. Je; utapotezea, utavua auAnahamisha magoli angechoma kingine au nyingine.. Ama tayari ameshaanza kutishwa
Mkuu ni noma ndio maana nasema siwezi kwenda huko lkn hata hivyo unaweza ukaniambia ni namna gani naweza jisaidia au kutoka kwa namna yeyoteTatizo ni kubwa zaidi kumbe.. Hapo ni lazima watengeneze suluhu kwanza la sivyo unaweza kuwa mbuzi wa kafara
Kafara ya moto 😂Ogopa sana kafara la moto..!!!
Noma noma noma mkuu washa motoMwenge wa uhuru🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿
Kanisani haipigwi kengele kabla mishumaa haijawashwa, ibada haianzi mpaka moto wa mshumaa uwashwe mooootoMwenge wa uhuru🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿
shetani alishashindwa na Yesu wa MSALABA. Dogo akae vizuri na Mungu, huyu nabii ambaye ni wakala wa shetani anakwenda kuumbuka sana! sana! mchana kweupeSasa anatakiwa kusimama imara sana kwakuwa nabii hatakubali kuwa outshined