shetani alishashindwa na Yesu wa MSALABA. Dogo akae vizuri na Mungu, huyu nabii ambaye ni wakala wa shetani anakwenda kuumbuka sana! sana! mchana kweupe
Eti nabii,kimzaha mzaha neno nabii lilianza tumika mwanzoni 2000,hata wakristu walipinga,lakini sasa wamekubali,limekubalika kwamba kuna manabii siku hizi,na wanachangisha pesa hatari