Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Wanajiona watusi badala ya wakongo, wanajiona wanyarwanda badala ya wanyarwanda.
Nakataa dhana kuwa wanabaguliwa kwasababu ni watusi, wajibaguwa wenyewe kwakujiona wanastahili zaidi kuliko wengine?.....
Mkuu nimejaribu kukufafanulia lakini naona unachuki binafsi dhidi ya Watutsi.

Kumbuka Watutsi ni Waafrika wenzetu chuki dhidi yao hazisaiidii chochote sana zitaongeza mavita yasiyo na mwisho.
 
Mkuu nimejaribu kukufafanulia lakini naona unachuki binafsi dhidi ya Watutsi.

Kumbuka Watutsi ni Waafrika wenzetu chuki dhidi yao hazisaiidii chochote sana zitaongeza mavita yasiyo na mwisho.
Sasa wewe unaye amin kuwa wanachukiwa kwasababu wana pua ndefu, really?. Hii sababu ni ya kipumbavu na hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuikubali.
Zipo sababu za msingi.
 
Sasa wewe unaye amin kuwa wanachukiwa kwasababu wana pua ndefu, really?. Hii sababu ni ya kipumbavu na hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuikubali.
Zipo sababu za msingi.
Mimi nimeishi huko na pia nimekaa Kongo DRC hata inafikia Wakongo wanaukataa UBANTU wa Watutsi na kama unakumbuka Mauaji ya Kimbari Rwanda Interahamwe walikuwa wakizitia Maiti haswa za Kitutsi Mtoni Akagera wanasema ili zirudi "kwao" Abisinia.

Sasa tukianza kuulizana Asili hata Wabantu wametoke Afrika ya Magharibi
 
Zipo sababu za msingi na si mwonekano kuuliwa kwasababu ya pua ndefu nakataa. Kama pua ndefu na wahindi wanazo.
 
Zipo sababu za msingi na si mwonekano kuuliwa kwasababu ya pua ndefu nakataa. Kama pua ndefu na wahindi wanazo.
Tafadhali ndugu tembelea hiyo Mitaa ukajionee mwenyewe.

Mimi sio kwamba naongea tu nimekuwa nikiwauliza Wadau wa Kitutsi Rwanda Burundi na Congolee Wadau wa Kihutu Rwanda Burundi na Kongo.

Nina Marafiki wengi wengi kweli kweli mitaa hiyo.

Muda umefika sasa sisi Waafrika tukae chini tutatue Migogoro yetu bila CHUKI wala UBAGUZI.
 
There must be a reason behind.....
Btw. Vipi stability ya mipaka ya Congo na nchi nyengine? Ukiondoa Rwanda na burundi?
 
Umemuandika Ndayishimiye kama mtu binafsi zaidi na sio kama Rais aliyeapa kuilinda Burundi.

Wasi wasi wako mkubwa upo kwenye Urais wake na sio Burundi.

Uenda, hana uchungu na urais wake kuliko Nchi yake.
Na huyu Rwanda tunaembiwa ana nguvu sana, aliwahi kupigana na nani hadi Burundi itishiwe asimjaribu? Isije ikawa ni Rwanda ndio inaogopa hivyo inachezesha propaganda za kuogopwa?
 
Miaka ijayo itatokea tena vita au mauaji ya Halaiki ya Watutsi, either Rwanda, Burundi au popote walipo.

Why?
Maisha, pride na ego ya Watutsi ni matokeo Mabaya ya Ukoloni wa Ubeligiji, Ututsi ulitolewa kutoka kwenye uafrika na kuwa Alama ya Ufahari, na kuwafanya wajione ni Jamii special sana, kila wanapoenda wanajiaminisha wao wakojuu kuliko jamii yoyote ya kiafrika na wao ndio watu sahihi kuongoza Serikali au kitu chochote.
Matokeo yake huwabagua wengine na kuwafanya wachukiwe hata kuuawa, now Kagame anafanya kila kitu kusiwepo na Hutus uprisings
 
Ila kweli arrogance, pride, unyonyaji & injustice huwa ni chanzo cha chuki kwa wale wanaofanyiwa.
 
Vipi wakuu.

Ki ukweli inashangaza sana raisi wa nchi ambayo ina jeshi, polisi na serikali, lakini anakosa kupata habari za kiintelejensia kuhusu kile kinachoweza kumtokea mbeleni endapo atataka kutumia mamlaka yake kama raisi kupambana na mtu au nchi inayomshinda kila kitu.

Najua fika kuwa Burundi ni nchi yenye nguvu za wastani kijeshi, hii ni kutokana na uzoefu waliokuwa nao pindi walipokuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka zaidi ya ishirini iliyopita. Lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kujiona kuwa wanaweza kuingia vitani na Rwanda hata kidogo. Kufanya hivyo itakuwa ni kujichimbia kaburi yenyewe au raisi Ndayishimiye kukata kuti alilokalia mwenyewe na msumeno.

Katika East Africa nzima ukiitoa Kenya na Tanzania, hakuna nchi nyingine ambayo inaweza kusimama na Rwanda vitani ikashinda, hata hiyo Uganda yenyewe inaweza kuhenyeshwa na kutepeteshwa vibaya, achilia mbali nchi ambazo ni nyepesi kupigwa kama Burundi au Congo.

Kama kuna tatizo lolote kutoka Rwanda, ni vizuri ndugu Ndayishimiye alipeleke hilo swala katika vikao vya EAC community wakae walijadili na kama wakiona inafaa kulichukulia hatua watafanya hivyo bila kupendelea upande wowote maana wote ni wanachama wa EAC, lakini swala la kuingia vitani ni Rwanda, litakiweka kiti chake na maisha yake kwa ujumla hatarini, alafu baada ya kichapo Kagame akiwaruhusu wale waliokimbilia nchini Rwanda warudi wakaendeshe nchi yao, watu wataanza kulalamika kuwa Rwanda ilikuwa inafanya choko choko ili baadae iweke watutsi.

Muda ni huu wa kulishughulikia hili swala kwa njia za kidiplomasia, asingoja kuwa too late, akaja kujuta baadae huku akiwa njiani na familia yake wakitimkia Tanzania kupata hifadhi ya kikimbizi. Burundi ipo uchi sana mbele ya intelejensia ya Rwanda, hivyo ni rahisi kuangamizwa vibaya nchini mwao wenyewe.

Afunge mpaka wake na Rwanda, hilo ni sawa, lakini asithubutu kutuma jeshi likathubutu kuingia Rwanda kwa kisingizio cha kwenda kuwatafuta wabaya wake, ataangamia vibaya mno na sisi kwa vile tuko na yetu ya umeme, uchaguzi wa serikali za mitaa na ule wa 2025 basi hatutakuwa na muda wa kwenda kumsaidia kama tulivyomsaidia kurudi madarakani raisi Ngurunziza katika mapinduzi ya mwaka 2015.
Jiandaeni kurudi kwenu Rwanda.
 
Tshisekedi na congo na jeshi lao la FARDC na wazalendo wa Congo wamepeleka moto siyo wa pole pole Rwanda, bado km 14 tu kuifikia Kigali, wameteka kiwanja Cha ndege na huko Gisenyi shule zimefungwa, ni kichapo Cha hatari, yaani kule Goma Kuna majeshi ya kikongo, Burundi na Tanzania, Kenya, na south Africa hayo ndo yanapambana kurudisha nyuma waasi wa M23 na askari wa Rwanda

Halafu kwenye uvamizi wa Congo kusonga mbele kuekekea ndani ya Kigali na Rwanda lipo jeshi la wakongo na vijana ( wazalendo) wa Kongo waliojiandikisha na wamehamasika kuipigania udongo wa Kongo nao wanatoa kichapo mbaya kwa wanyarwanda
 
Back
Top Bottom